Chemsha bongo namba 05

Ashumu upo kwenye chumba kimoja kikubwa sana, hakina milango wala madirisha.

Chemsha bongo namba 05

Chemsha bongo 05

imageimage
Ashumu upo kwenye chumba kimoja kikubwa sana, hakina milango wala madirisha. Kati kuna litaa linawaka sana. Ukiwa ni usiku simba mkari akaachiwa, kwa kasi sana anakufuata. Huna kisu wala chochote cha kupambana nae. Unatakiwa umuuwe ndani ya muda mchache. Je! Utatokaje kwenye chumba hiko

Jibu
Acha kuashumu.


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Chemshabongo Main: Burudani File: Download PDF Views 1822

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 web hosting    👉2 Madrasa kiganjani    👉3 kitabu cha Simulizi    👉4 Bongolite - Game zone - Play free game    👉5 Kitau cha Fiqh    👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina   

Post zinazofanana: