Chemsha bongo 14

imageimage
12.Miguu 9
Watoto wa kidato cha sita waliulizwa swali na mwalmu wao katika somo la kiswahili. Swali lilikuwa hivi: ÔÇťAsubuhi natembea na miguu minne, mchana natembea na miguu miwili na usiku natembea na miguu mitatu. Je! Mimi ni nani?

Jibu
Mtoto akiwa mdogo hutambaa kwa miguu miwili na mikono miwili. Lakini akiwa mkubwa hutembea na miguu miwili tu na anapozeheka kutumia bakora kama mguu wa tatu kumsaidia kutembea.