Tatua mzozo wa NI NANI MUUAJI?
Tatua mzozo wa NI NANI MUUAJI?
Mnamo mwaka 2006 Mwalimu wa Geography aliuliwa siku ta kufungua shule, majira ya jioni mwezi wa kwanza. Miongoni mwa watuhumiwa walokamatwa ni Mwalimu mkuu, Mwalimu wa zamu na mwalimu wa hisabati.
Askari walipowauliza vyema mwalimu mkuu akasema yeye alikuwa ofisinu muda wote. Mwalimu wa hisabati aliseme yeye alikuwa anasimamia mtihani wa robo muhula darasani. Mwalimu wa zamu alisema yeyea alikuwa akiandaa ripoti ya siku pamoja na kuandaa masomo ya kufundisha kesho.
Baada ya upelelezi kulingana na maelezo ya watuhumiwa hawa watatu. Hatimaye Mwalimu wa hisabati alitiwa mbazoni na hatia ya mauaji. Je unadhani ni kwa nini askari walimtia hatia mwalimu wa hisabati?
Jibu
Kulingana na maelezo ya mwalimu wa Hisabati yanaonekana sio sahihi. Haiwezekani siku ya kufungua shule aweze kusimamia mtihani wa robo muhula ambao unatakiwa ufanyike mwezi wa tatu. Mwalimu wa hesabau amejichanganya maelezo. Huenda kuna jambo analificha hapa.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowKupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...