12.
12.Miguu 9
Watoto wa kidato cha sita waliulizwa swali na mwalmu wao katika somo la kiswahili. Swali lilikuwa hivi: “Asubuhi natembea na miguu minne, mchana natembea na miguu miwili na usiku natembea na miguu mitatu. Je! Mimi ni nani?
Jibu
Mtoto akiwa mdogo hutambaa kwa miguu miwili na mikono miwili. Lakini akiwa mkubwa hutembea na miguu miwili tu na anapozeheka kutumia bakora kama mguu wa tatu kumsaidia kutembea.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowChemshabongo, Je? ungelikuwa ni w ewe ungetorokaje gerezani?
Soma Zaidi...Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...