picha

KUMTOROSHA MFUNGWA GEREZANI

Chemshabongo, Je? ungelikuwa ni w ewe ungetorokaje gerezani?

KUMTOROSHA MFUNGWA GEREZANI

Je utatorokaje Gerezani

imageimage

Mnamo mwaka 1678 Kitui alipewa majaribio pindi alipopatwa na hatia ya wizi. Baada ya kesi alipelekwa gerezani kifungo kisicho na mwisho. Ila alipewa siku tatu za kutoka gerezani. Hakupewa chakula wala maji. Kitu pekee alichopewa ni chepe tu. Kama unavyoona kwenye picha. Pia chumba cha gereza kilikuwa kidogo kikiwa na dirisha moja tu dogo lenye upenyo mdogo wa kupita na kwa nyuma limezungukwa na bahari.

Chumba kilikuwa ni kirefu hivyo asingeweza kupanda. Urefu wa ukuta mpaka kufikia nkadirisha ni mita 5. cha chini ukuta umekwenda umbali wa mita tano, hivyo asingeweza kutoroka kwa kupitia chini. Kitui alitakiwa atoroke ndani ya siku tatu si hivyo angepoteza maisha. Je! Ungelikuwa ni wewe ungefanya nini? Tumia maarifa uliyo nayo kuweza kutoroka gerezani


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 2018-08-01 Topic: Chemshabongo Main: Burudani File: Download PDF Views 1253

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game    👉2 Kitabu cha Afya    👉3 web hosting    👉4 Kitau cha Fiqh    👉5 kitabu cha Simulizi    👉6 Dua za Mitume na Manabii   

Post zinazofanana:

game

Karibu kwenye uwanja wa Game.

Soma Zaidi...
Chemsha bongo namba 05

Ashumu upo kwenye chumba kimoja kikubwa sana, hakina milango wala madirisha.

Soma Zaidi...
SIRI

Kutoka kwenye usingizi mzito unaamka, Haujui nini kimetokea (uenda ukawa umepoteza kumbukumba).

Soma Zaidi...