Chemsha bongo 12

imageimage
8.Ni nani ana kosa?
Watu watatu walikuwa wanasubiri taa za barabarani ili wavuke. Mtu wa kwanza alikuwa anaendesha lori. Mtu wa pili alikuwa anaendesha pikipiki na wa tatu alikuwa anaendesha farasi.

Wote walikuwa wakisubiri taa ya kijani iwake ili wavuke. Dereva wa lovi akapiga honi kumshitua mtu wa mbele yake. Honi ile ikamshitua farasi. Farasi akamkumba muendesha pikipiki. Na kwa kuwa breki za pikipiki silikuwa mbovu pikipiki ikaingia katikati ya barabara na kukanyagwa na gari linalotoka upande mwingine.

Dereva wa pikipiki akafariki palepele. Unadhani nani alikuwa na kosa. Je! Ni alopiga honi, ama muendesha farasi ana dereva wa lori la upande mwingine ama ni nani?

Jibu
Dereva wa pikipiki ndiye mwenye makisa kwa kuenesha pikipiki ambayo breki zake ni mbovu.