Chemsha bongo 08

imageimage
20.Gari gani
Kulikuwa na magari mawili, moja linatembea kwa kasi sana kwa mwendokasi wa kilometa 60 kwa lisaa (60km/h) na lingine kwa mwendokasi wa kilomita 40 kwa lisaa (40km/h). gari zite zinatembea kwenye njia moja na isiyo na kona.

Baada ya muda flani gari zile zikakutana na kupishana. Unadhani hii barabara ni ya namna gani, ama nini kimetokea?


Jibu
Kwa sababu zilikuwa zikitembea kwa uelekeo tofauti