21.
21.Mti mtu
Vijana wawili marafiki, mary na Huruma walikwenda kutembea. Kwa bahati mbaya mvua ikwanyeshea. Wakakimbia huku na kule. Wakiwa wametota vibaya, wakaona kibanda, wakaingia na kukausha nguo zao kwa moto. Baada ya duda mchache nguo zao zilikauka.
Wakiwa na njaa kali wakaamua wakatafute matunda. Kila mmoja akaenda upande wake. Kwa bahati mbaya mery alikanyaga mtego wa kichawi na kugeuka mti. Katika kuzunguka huruma akapita eneo lile ambalo mery amegeuzwa mti
Huruma akasikia sauti ikimwambia βRafiki yako amegeuzwa mti, tunakupa chaguo moja tafuta ni mti upi ni rafiki yako. Ukikosa na rafiki yako ataendelea kuwa mtiβ unadahi ni mti upi Huruma angeuchagua
Jibu
Kwakuwa mvua ilinyesha miti yote itakuwa ina maji, ila mary alikuwa amekausha nguo zake hivyo mti ambao ni mery utakuwa ni mkavu.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Kutoka kwenye usingizi mzito unaamka, Haujui nini kimetokea (uenda ukawa umepoteza kumbukumba).
Soma Zaidi...