Chemsha bongo namba 07

22.

Chemsha bongo namba 07

Chemsha bongo 07

imageimage
22.Busara za mfalme
Hapo zamani kulikuwa na mfalme. Mfalme huyu hakuwa hata na mtoto wa kumrithi. Na alishakuwa amezeheka sana. Hivyo akaamuwa kutowa mbegu mbalimbali za miti kuwapa watoto wa nchini na akasema yeyote atakayeotesha mti mzuri kuliko wenzie kutoka katika hizi mbegu ninazotoa atkuwa ndiye mrithi wangu.

Baada ya miezi mitatu maelfu ya watoto wakaja ikulu kuleta miti yao waloiotesha kwenye makopo na mitungi. Mtoto mmoja tu yeye alikuja na kopo tupu ambalo halikuwa na mti, bali lilikuwa na udogo tu. Mwisho mfalme alimshagua huyu mtoto kuwa ndiye mrithi. Umadhani ni kwa nini?
Jibu.
Ni kwa sababu mfalme aliwapa mbegu feki. Na huyu mtoto hakufanya udanganyifu wa kuotesha mbegu nyingine tofauti na ile alopewa na mfakme.


                   

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass

Nyuma Endelea


Je umeipenda post hii ?

Ndio            Hapana            Save post
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Chemshabongo Main: Burudani File: Download PDF Views 1125

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya    👉2 Simulizi za Hadithi Audio    👉3 Kitau cha Fiqh    👉4 kitabu cha Simulizi    👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉6 Madrasa kiganjani   

Post zinazofanana: