19.
19.Tufaha chumbani
Mwanafunzi mmoja alipewa chemsha bongo. Ndani ya chumba kilicho kitupu waliwekwa watu 10. watu hawa walijipanga kuzunguka chumba, kwa kiasi kwamba wangeweza kukiona chochote kitakachowekwa ndani ya chumba hiko.
Mwanafunzi huyu akapewa tufaha na akaambiwa aliweke tufaha ndani ya chumba kile chenye watu kumi, kwa namna ambayo mtu mmoja tu ndio hatakiwi kuliona tufaha. Unadhani ni wapi angeliweka tufaha hili?
Jibu
Angeliweka juu ya kichwa cha mmoja wapo
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowKutoka kwenye usingizi mzito unaamka, Haujui nini kimetokea (uenda ukawa umepoteza kumbukumba).
Soma Zaidi...Ashumu upo kwenye chumba kimoja kikubwa sana, hakina milango wala madirisha.
Soma Zaidi...