16.
16.Kifo
Hapozamani kulikuwa na mzee mwenye watoto watatu. Mzee alifanya kosa kwa jini mmoja. Jini akamwambia nitakuuwa. Mtot wa kwanza wa mzee akamuombea baba yake kwa jini ampe miaka miwili ajiandae kisha aje kumuua.
Baada ya miaka miwili akaja. Mtoto wa pili wa mzee akaomba kwa jini ampe mwaka mmoja zaidi baba yake ajipange. Jini akakubali, ha mwaka ulipoisha akarudi. Mara hii moto wa mwisho akaja na mshumaa akamwambia mpe baba muda mpaka huu mshumaa unaowaka hapa utakapoisha. Jini akakubali na akaondoka akisubiri mshumaa uishe.Hatimaye jini hakurudi tena unadhani mtot wa mwisho alitumia mbinu gani?
Jibu
Ukweli ni kuwa baada ya jini kuondoka binti aliuzima mshumaa usiishe.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowKutoka kwenye usingizi mzito unaamka, Haujui nini kimetokea (uenda ukawa umepoteza kumbukumba).
Soma Zaidi...Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...