Chemsha bongo namba 25
26.
Chemsha bongo 25
![]()
![]()
26.Toroka
Mtu mmoja alikuwa amekamatwa, na akafunguwa kwenye chumba chenye milango miwili bila hata ya madirisha. Mlango wa kwanza ulikuwa na nyoka mkali anasubiri uje akugonge. Mlango wa pili ulikuwa na kioo ambacho kikipigwa na jua kunaunguza sana. Ukikisogelea tu unaugua kama moto.
Unadhani mtu huyu atatokaje salama kwenye chumba hiki?
Jibu
Atasubiri jua lizame ndipo atatoka kwa usalama
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 ai web app 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 web hosting 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉1 ai web app 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 web hosting 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
KUMTOROSHA MFUNGWA GEREZANI
Chemshabongo, Je? ungelikuwa ni w ewe ungetorokaje gerezani?
Soma Zaidi...