Chemsha bongo namba 20

17.

Chemsha bongo namba 20

Chemsha bongo 20

imageimage
17.John na Ngazi
John alikuwa akifanya kazi ya kupandisha mizigo juu. Alikuwa akkipanda kwa kutumia ngazi yenye urefu wa futi 24. Siku moja mvua ilinyesha hivyo ikawa ngazi inateleza sana.

Wakati anapanda kwa bahati mbaya akaanguka kutoka kwenye ngazi mpaka chini. Jambo la kushangaza hakuumia hata kidogo. Unadhani hii imewezekanaje?

Jibu
Ni kwa sababu alianguka kwenye kidato cha kwanza cha ngazi, naani chini kabisa.


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Chemshabongo Main: Burudani File: Download PDF Views 3361

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi    👉2 Simulizi za Hadithi Audio    👉3 Kitau cha Fiqh    👉4 Kitabu cha Afya    👉5 Bongolite - Game zone - Play free game    👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)   

Post zinazofanana: