Flutter: Somo la 3: Mambo muhimu kuhusu App ya flutter
Katika somo hili tutakwend akuyaona baadhi ya maeneo muhimu ya kuanzia kuyajuwa kwa ajili ya course ya flutter kwneye android studio.
Kwa maelekezo zaidi ya somo hili unaweza kuangalia video hii
Folder location:
Kwanza kabisa tuangalie sehemu ambapo folder lenye projectyetu lipo. Kama unakumbuka kwenye somo lililopita kuwa nlikwambia kuwa kwemye project location mimi imechaguwa desktop. Hapo ndipokwneye folder lenye project yetu. Hivyo basi nikienda kwenye desktop nitalikuta folder hilo.
Kama utabofya folder hilo utakuta mafolda mengine madogo madogo ambayo yanahusika na project yetu. Hapo kuna mafolder manne ambayo tutayazungumzia hapa.amabayo ni:-
- Android: hili ndio hukaa code za android, kwa lugha ya java ama kotlin.
- Build: hapo ndipo patakwepo out put za projectbyako. Mfano apk za app
- Lib: hapo ndionambapo code za Dart zitakaa. Mfano faili letu la main.dart utalikuta hapo.
- Web: hapo ndipo code zinazohusiana na website zitakaa. Angalia picha hapo chini.
Sasa turudi kwenye Android studio tuone maeneo mengine:
Project Structure:
Sasa hayo yote unaweza kuyapata kwenye android studo. Sasa wacha tuone baadhi ya maeneo hayo. Angalia picha hapo chini nimeweka namba. Hivyo ndio nitazizungumzia
- Tehama hapo ndio kwenye folder lenye project yetu. Ukibofya hapo utaona mafolder madogomadogo ytebtulioyaona hapo juu yapo hapo. Unaweza kuchaguwa moja wapo unalotaka kulifanyia kazi.
- Android: hapo ndipo kuna mafolder muhimu ambayo yanahusika kwenye project yetu kama pacjages na kadhalika.
- Project location: hiyo hapo ndio location ya project yetu kwenye kompyuta yangu
- App: hapo ndipo panakaa code za java ama kotlin
Sasa tuangalie baadhi ya menu zilizopo kwenye android studio...
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 web hosting 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
FLUTTER somo la 18: Jinsi yakubadili App name kwenye flutter
Katika somo hili utakwenda kujifunzajinsi ya kubadilisha, jinala App yaani App name.
Soma Zaidi...Flutter somo la 17: Jinsi ya kubadili app icon
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubadili app icon kwenye app ya Android na iphone kwenye flutter.
Soma Zaidi...Flutter somo la 11: Matumizi ya text widget
Katika Flutter, Text Widget ni kipengele kinachotumiwa kuonyesha maandishi kwenye programu. Kwa kawaida, hutumiwa kama sehemu ya muundo wa UI ya programu za Flutter.
Soma Zaidi...Flutter somo la 16: Jinsi ya kuweka drawer menu
Katika somo hili utakwenda kujifunza jisni ya kuweka drawer menu kwenye app ya flutter.
Soma Zaidi...FLUTTER somo la 20: Jinsi ya ku sign App ya android kwenye flutter
Somo hili litakufundisha hatuwa kwa hatuwa jinsi ya ku sign app ya android kwenye flutter
Soma Zaidi...Flutter somo la 12: widget ya padding
Katika somo hili utakweda kujifunza jinsi ya kutumia widget ya padding kwenye App yako.
Soma Zaidi...