Flutter: somo la 4: Jinsi ya kuandika code za App ya flutter, hatuwa kwa hatuwa

Katika somo hili utakwenda kujifunza sasa jinsi ya kuandika code za app yetu kwenye flutter framework.

Somo hili litajikita jinsi ya kukupa utangulizi juu ya sheria za kuandika code za Dart kwneye flutter. Somo hili litakufunza baadhi ya misingi ya flutter. Kabla ya hapo kwanza kujifunze jinsi ya kuandika code za project yetu. Tafadhali rejea kwenye masomo yetu ya Dart kama huna uzoefu, kwa sababu hapa tutatumia language ya Dart.

 

Hatuwa ya kwanza:

Kwanza kabisa futa kila kitu kwenye ukurasa wa main.dart ukurasa wa code ambao unaonekana hapo kwene android studio. Baada ya kufuta tutaanza kuandika code zetu wenyewe.

 

Hatuwa ya Pili:

Anza kwa ku import package ya flutter materia. Package hii inatusaidia sisi ili tuweze kutumia materia design kwa ajili ya kutengeneza muonekano wa app yetu. Tutaweza ku import kwa kutumia code hizi:-

import 'package:flutter/material.dart';

 

Hatuwa ya tatu:

Sasa tunakwenda kuanza na kuandiak main function ya app yetu. Kama unakumbuka kwenye mafunzo ya Dart kuwa project ya Dart inaanzia na main(){} function. Basi hata hapa ttaanza nayo hivyo hivyo.

void main() {

 

}

Ndani ya function yetu hapo ndipo sasa tunakwenda kuweka code zetu.

 

Hatuwa ya nne: Sasa tutaansika code kwa ajili ya ku initiate launching yaani kwa ajili ya kuanzisha app iweze ku run. Kwenye flutter tutatumia function  ya runApp() ndani yake kutakuwa na code ambazo zitafanya kazi wakati app imerun.

 

Hatuwa ya tano: sasa ni muda wa kutumia materia design kwa ajili ya kuifanya app yetu ipate muonekano. Mfano tunaweza kuweka batani. Text, app bar na kadhalika. Ili kufanya hivyo tutatumia widge ya MaterialApp().  Nini maana ya widge, hii tutajifunza hapo chini kidogo.

 

Sasa kawaida kwenye flutter widge inaweza kuwa na properties zake. Na property inaweza kubeba widge nani yake. Sasa ndani ya MateriaApp widget tutaweka propert ya home:. Kawaida widget zinakuwa na property zake. Na kila propert inakuwa na value zake. Sasa hapo tutaumia widget nyngine kana value ya property home ambayo ni scaffold widget.home: Scaffold() ndani ya scaffold widget tutaweka property appBar: iwe kama value ya scaffold widget. Pia propert ii tutaipa wiget ya AppBar().

 

Widget ni nini?

Widget ni user interface element zote, yaani kila ambacho mtumiaji atakiona kwenye app  basi ni widget. Kuanzia batani, text, na vinginevyo hizo zote ni widget. Widget inawez akubeba functions, mbalimbali. Tutajifunza zaidi kuhusu widget katika somo linalofuata.

 

Scaffold widget hutumika katika kutengeneza muonekano (basic visual structure). Home property hutumika kwa ajili ya kutengeneza home page ya application yako. Hiyo ndio itaeleza widget gani zitafanya kazi kwenye home page. appBar hii hutumika kwenye kutengeneza app bar.

 

Hatuwa ya sita:

Sasa tunakwend akuweka app bar kwenye app yetu. Kufanya hivi tutatumia property ya appBar ambayo value zake ni widget ya text() kwa ajili ya kuandika jina la app bar.

title: const Text('Bongoclass'),

 

Hatuwa ya saba: 

Sasa app yetu tayari ina app bar, kwahiyo sasa tunahitaji kuweka body kwebye app yetu. Kwenye body tunaweka maudhui za app. Kumbuka bado tupo ndani ya scaffold widget. Hivyo basi tutatengeneza propery nyingine ambayo ni body. Tutatumia widget ya Text ili kuweza kuandika text zetu.

body: const Text('Mafunzo ya flutter kutoka Bongoclass'),

 

Code zote zipo hivi:

import 'package:flutter/material.dart';

 

void main() {

 runApp(

   MaterialApp(

     home: Scaffold(

       appBar: AppBar(

         title: const Text('Bongoclass'),

       ),

       body: const Text('Mafunzo ya Flutter kutoka Bongoclass'),

       ),

     ),

 );

}

 

Wacha tuone hizi code:

Hapa chini nimeleta picha y code hizo tuone jinsi maelezo nilotoa hapo juu ynanavyoweza kuonekana. Nitatumia namba kuelekeza hizo namba ">...

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Flutter Main: ICT File: Download PDF Views 671

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani    👉2 Kitabu cha Afya    👉3 Bongolite - Game zone - Play free game    👉4 Simulizi za Hadithi Audio    👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉6 kitabu cha Simulizi   

Post zinazofanana:

Flutter somo la 12: widget ya padding

Katika somo hili utakweda kujifunza jinsi ya kutumia widget ya padding kwenye App yako.

Soma Zaidi...
FLUTTER somo la 2: Jinsi ya kutengeneza App ya flutter

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutengeneza App yako ya kwanza ya Flutter hatuwa kwa hatuwa.

Soma Zaidi...
Flutter somo la 9: Jinsi ya kutumia widget ya Row

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu row widget. Hii ni widget ambayo ina utofauti na column widget kwa kuwa hii yenyewe inapangilia maudhui kwa safu za mlalo, tofauti na iliyopita inapangilia kwa safu za wima.

Soma Zaidi...
Flutter somo la 7: jinsi ya kutumia Widget ya AppBar

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu widget ya AppBar. Hata tutaona inavyofanya kazi na baadhi ya property zake.

Soma Zaidi...
Flutter: Somo la 3: Mambo muhimu kuhusu App ya flutter

Katika somo hili tutakwend akuyaona baadhi ya maeneo muhimu ya kuanzia kuyajuwa kwa ajili ya course ya flutter kwneye android studio.

Soma Zaidi...
Flutter somo la 11: Matumizi ya text widget

Katika Flutter, Text Widget ni kipengele kinachotumiwa kuonyesha maandishi kwenye programu. Kwa kawaida, hutumiwa kama sehemu ya muundo wa UI ya programu za Flutter.

Soma Zaidi...
FLUTTER somo la 19: jinsi ya kubadili app id ama bundle identifier na configuration nyingine

Katika somo hili utajifunza jisni ya kubadili package name ama app id kwenye Android app na Bundle Identifier kwenye iOS app na taarifa nyinginezo.

Soma Zaidi...
FLUTTER somo la 21: Jinsi ya kutengeneza faili la apka na faili la aab

Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kutengeneza faili la apk kwa ajili ya ku share app yako, na faili la aab kwa ajili ya ku publih app yako.

Soma Zaidi...
Flutter somo la 16: Jinsi ya kuweka drawer menu

Katika somo hili utakwenda kujifunza jisni ya kuweka drawer menu kwenye app ya flutter.

Soma Zaidi...
Flutter somo la 17: Jinsi ya kubadili app icon

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubadili app icon kwenye app ya Android na iphone kwenye flutter.

Soma Zaidi...