Menu



kupungua kwa kas kwa mwili na shingo kupungua unene na meno kutoboka ni dalili za HIV

kupungua kwa kas kwa mwili na shingo kupungua unene na meno kutoboka ni dalili za HIV

Habari Mimi kupungua kwa kas kwa mwili na shingo kupungua unene na pia naona niko na meno yalio tobolewa na meno hayo kwa maumivu yake yakanisababishia uvimbe kama jipo je nayo ni dalili za HIV



Namba ya swali 039

Je kuna shida yeyote ya kiafya inakupata tofauti na meno?



Namba ya swali 039

Pia dalili za maleria yani kichwa joto tumboni kama kujaa ges



Namba ya swali 039

Na bado sija enda kujicheki afya kwa kuujua uhakika



Namba ya swali 039

Ni nhumu kujuwa HIV bila vipimo, kupungua kwa uzito na kukonda inaweza kuwa daliki za UKIMWI ila sio kirahisi kiasi cha kutokea bola hata ya kuumwa na maradhi nyemelezi, ijapokuwa inaweza kutokea kwa baadhi ya watu. Hata hivyo shida kwenye neno onaweza kuwa dalili ya HIV ila nayo huwa ikiambatana na fangasi kwenye ulimi na madoa madoa ulokininna mdomoni n.k Ni vyema kupima kwanza



Namba ya swali 039

Bc nashkur kwa ushaur



Namba ya swali 039

Ok karibu tena



Namba ya swali 039

Download app yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiw ana App yetu. Bofya liln hapo chini kuweza ku download

Download Now Bongoclass

           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu image Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Views 737


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    

Post zifazofanana:-

ugonjwa wa Malaria dalili zake na chanzo chake.
Malaria ni moja ya magonjwa hatari yanayoongoza katika vifo vya watoto wengi duniani walio chni ya umri wa miaka 5. Katika post hii utakwend akujifunza kuhusuugonjwa huu jinsi unavyotokea, hatuwa zake na dalili zake. Soma Zaidi...

Sababu za maambukizi kwenye nephoni
Posti hii inahusu zaidi sababu za maambukizi kwenye nephroni, ni vitu vinavyosababisha mabukizi kwenye nephroni. Soma Zaidi...

Dalili za UTI
Somo hili linakwenda kukuletea dalili za UTI Soma Zaidi...

Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces
Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces, hawa ni fangasi wanaosababisha maradhi yajulikanayo kama blastomycosis. Soma Zaidi...

Dalili za HIV na UKIMWI kwenye Ulimi na Mdomo
Dalili za HIV na UKIMWI kwenye mdomo na ulimi utaziomna hapa. hizi zinaweza kuwa ndio za kwanza kwa ambaye hajapima HIV Soma Zaidi...

Ufahamu Ugonjwa wa hepatitis B
Hepatitis B Ni maambukizi ya ini ambayo yamekuwa sugu kuanzia mwezi na kuendelea. Soma Zaidi...

Dalili za moyo kutanuka
Posti hii inahusu zaidi dalili mbalimbali ambazo zinaweza kujitokeza na kuonyesha kwamba moyo umetanuka. Soma Zaidi...

Sababu za wanawake kuwa na maumivu kwenye kiuno
Posti hii inahusu zaidi sababu za wanawake kuwa na maumivu kwenye viungo, ni ugonjwa unaowapata na wanaume ila kwa wanaweza unaowapata sana ukilinganisha na wanaume. Soma Zaidi...

Dalili za maambukizi kwenye milija(fallopian tube)
Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye milija (follapian tube) kwa kitaalamu huitwa salpingitis, ni maambukizi kwenye milija ambayo husababishwa na bakteria. Soma Zaidi...

Dalili za UKIMWI na VVU kutoka mwanzoni mwa siku za mwanzo
Je na wewe ni katika wanaosumbuka sana kujuwa dalili za kwanza za ukimwi toka siku ya kwanza, ama dalili za ukimwi kwenye ulimi, ama unatakakujuwa ni muda gani ukimwi huonekana, na je ukishiriki ngono zembe ndio utapata ukimwi? Basi makala hii ni kwa ajil Soma Zaidi...