Kazi za wahudumu wa afya wakati wa kutoa dawa kwa wagojwa
Hii post inahusu zaidi kazi za wahudumu wa afya wakati wa kutoa dawa, ni kanuni zinazopaswa kufuata wakati wa kutoa dawa kwa wagojwa.
Kazi za wahudumu wa afya wakati wa kutoa dawa kwa wagojwa.
1. Kuhakikisha wametoa dawa kwa wakati na kujua madhara ya dawa na faida zake na kuzuia matokeo mabaya ya dawa
2. Kumwambia mgonjwa maana ya dawa alizopewa na kujua lengo la kupewa dawa ni kupima
3. Kuhakikisha kuwa dawa aliyopewa mgonjwa ni sawa na inaenda kuleta matokeo chanya
4. Kuongea na mgonjwa kama Kuna dawa yoyote ambayo inamletea madhara, kama IPO mgonjwa hasipewa au abadilishiwe dawa.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 web hosting 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Huduma ya Kwanza kwa mtu aloanguka kifafa
Somo hili linakwenda kukueleza jinsi ya kumfanyia huduma ya Kwanza kwa mtu aloanguka kifafa
Soma Zaidi...Upungufu wa vitamin
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vitamin
Soma Zaidi...Madhara ya kuchelewa kutibu tatizo la kiafya
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea endapo tatizo halijatibiwa.
Soma Zaidi...Makundi manne ya damu na jinsi yanavyotumika
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa makundi manne ya damu na jinsi yanavyotumika, Ni magroup manne ya damu ambayo husaidia kuongeza damu kwa mtu ambaye amepungukiwa damu
Soma Zaidi...