Post hii inahusu zaidi umuhimu wa makundi manne ya damu na jinsi yanavyotumika, Ni magroup manne ya damu ambayo husaidia kuongeza damu kwa mtu ambaye amepungukiwa damu
Makundi manne ya damu
1. kundi A ni Aina ya group mojawapo ambalo hutoa damu kwa mtu mwenye nkundi A na AB
2. kundi B ni Aina ya kundi ambalo hutoa damu kwa mtu mwenye kundi AB na B
3. kundi AB hutoa damu kwa mtu mwenye kundi AB tu
4. kundi O hutoa damu kwa makundi yoteaA,AB,B na I, lakini hupokea kwa O peke Yao.
Imani potofu kuhusu makundi ya damu
1. Jinsi kundi lako la damu lilovyo ndivyo utu wako ulivyo. Yaani kuna watu wanaamini ukiwa na klundi fulani la damu utakuwa lamda mkarimu sana, ama mkorofi ama una maguvu. Hii sio sahihi kabisa.
2. Kwamba lishe inategemeana pia na aina ya damu ulio nayo. kwa mfano kuna watu wanaamini kuwa ukiwa na damu kundi fulani utatakiwa kula aina maalumu ya vyakula. Jambo hili sio sahihi pia, unaweza kula chakula chochote kile bila ya kuathiri kundi lako la damu.
3. Kwamba kuna baaadhi yakundi ya damu hayapati maradhi kuliko mengine. Ukweli ni kuwa aina ya kundi la damu ulionayo haitakusaidia kukukinga na maradhi, hata HIV. Ijapokuwa kila kundi la damu lina athari yake kwa baadhi ya maradhi lakini hii haimaanishi kuwa kuna makundi ya damu hayapati magonjwa mara kwa mara kulinganisha na mengine.
4. mbu anapenda damu yenye group O. hii pia sio sahihi, kitu kinachomvutia mbu ni hewa ya carbondioxide ambayo unaitowa unapopumuwa. Hii itamjulisha mbu mahala ulipo na upo umbali kiasi gani.
5. Kuwa ukkiwa na group O sio rahisi kupata HIV na UKIMWI, hii pia sio sahii kabisa. Kila kundi la damu lina hatari sawa kupata HIV endapo utajiingiza kwenye mazingira hatarishi ya kuweza kupata HIV.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya madini mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za upungufu wa vitamini C mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea Mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI
Soma Zaidi...Kungโatwa na nyuki kunaweza kukahitaji huduma ya kwanza kwa haraka kama mgonjwa ana aleji na nyuki.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa aliyeungua na Moto.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi matokeo ya maambukizi kwenye milija na ovari, ni matokeo apatayo mtu mwenye maambukizi kwenye milija na ovari.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi ajali ya jicho na visababishi vyake, ajali ya jicho ni pale jicho linavyoingiliwa na uchafu na vitu vingine ambavyo havistahili kuwa kwenye jicho
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu mwenye kizunguzungu
Soma Zaidi...Hii posti inahusu zaidi sifa za mkojo usio wa kawaida,ukiona mkojo wa namna hii unapaswa kwenda hospitalini kwa matibabu au vipimo vya zaidi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi malengo ya kutibu ukoma, ni malengo ambayo yamewekwa na wizara ya afya ili kuweza kutokomeza ukoma kwenye jamii
Soma Zaidi...