Je miwa ina madhara yoyote?

Je miwa ina madhara yoyote?

Umetaja faida za matunda , mimi ninataka kujuwa Je miwa ina madhara yoyote?

Je miwa ina madhara yoyote?

Umetaja faida za matunda , mimi ninataka kujuwa
Je miwa ina madhara yoyote?



Namba ya swali 049

Mmmh moja katika madhara ya miwa ni kuongeza uzito wa mwili endapo mtu ataila sana kupitiliza



Namba ya swali 049

Sukari inayopatikana kwenye matunda ina madhara gani?



Namba ya swali 049

Sukari ya kwenye matunda ya asili kama vile muwa, ndizi, inamadhara gani mwilini?



Namba ya swali 049

Haina madhara



Namba ya swali 049

Sukari ilyoko kwenye matunda inaweza kupelekea mapigo ya moyo kwenda kasi



Namba ya swali 049

Inawwza kama itakuwa nyingi sana



Namba ya swali 049

Kitaalamu mtu anatakiwa kula muwa kiasi gani? Kwa siku



Namba ya swali 049

Je unasumbuliwa na maradhi



Namba ya swali 049

Maana kitaalamu hakuna madhara ya kiafya kwa kuka muwa



Namba ya swali 049

Mapigo ya moyo huenda kasi hivyo nahofia kula sukari ya muwa na ndizi (nadhani inaweza kuongezatatizo hilo ) kwa hilo unaonaje au niendelee tu kula miwa na ndizi?



Namba ya swali 049

Punguza



Namba ya swali 049

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 6387

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Dua za Mitume na Manabii     👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉5 web hosting     👉6 Kitau cha Fiqh    

Post zinazofanana:

Faida za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito

Posti hii inahusu zaidi faida za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito, kuna kipindi ambacho wanawake wakati wa ujauzito uchaguza vyakula mbalimbali kuna ambao wanaweza kutumia vitunguu saumu na kupata faida kubwa

Soma Zaidi...
VYAKULA VYA VITAMINI

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...
Madhara ya kula chakula chenye chumvi nyingi

Posti hii inakwendavkukufundisha madhara unayoweza kuyapata unapokula chakula cgenye chumvi nyingi

Soma Zaidi...
Virutubisho vya mwili

Posti hii inahusu zaidi virutubisho vya mwili, ni aina tano za vyakula ambayo ufanya kazi mbalimbali kwenye sehemu za mwili wa binadamu.

Soma Zaidi...