Posti hii inahusu zaidi imani potofu kwa mwanamke mwenye mimba, ni Imani ambazo zimekuwepo kwenye jamii kuhusu wanawake wenye mimba.
Zifuatazo ni baadhi ya Imani potofu kwa mwanamke mwenye mimba.
1. Mwanamke mwenye mimba hapaswi kutumia mayai.hii ni mojawapo ya Imani potofu ambazo ziko kwenye makabila mengi, kwa hiyo mwanamke anaruhusiwa kutumia mayai Ili apate protini ya kutosha kwa ajili yake na mtoto wake.
2. Mwanamke mwenye mimba hapaswi kufanya tendo la ndoa, hii si kweli katika hili,kwa hiyo mama anaruhusiwaa kufanya tendo la ndoa mpaka siku ya kujifungua.
3. Mwanamke hapaswi kufanya kazi yoyote pale anapokuwa na mimba, hii si kweli na ni kuendekeza uvivu mkubwa sana, hakuna hasara yoyote kwa mwanamke akifanya kazi akiwa na mimba, labda kama ana maagizo kutoka kwa daktari.
4. Mama hapaswi kusafiri akiwa na mimba.
Kuna makabila mengine uzuia wanawake wenye mimba kusafili, labda kama amebakiza siku chache kujifungua, Ila kama mimba Ina miezi mitatu au miezi ya mwanzoni mama anapaswa kusafili na hakuna tatizo lolote kama mama ni mzima anapaswa kusafiri
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi uhusiano uliopo kati ya Mama Mjamzito na kibofu cha mkojo.ni mwingiliano unaokuwepo ambao usababisha Mama kukojoa sana wakati wa ujauzito.
Soma Zaidi...Je unasumbuliwa na maumivu ya tumbo. Unadhani ni dalili za mimba na ukapima hakuna mimba.
Soma Zaidi...ukiwa na ujauzito unaweza kuona mabadiliko mengi katika mwili wako yakiwemo kutokwa na majimaji. je majimaji haya yana dalili gani kwenye ujauzito?
Soma Zaidi...Je unasumbuliwa namaumivi wakati wa nlishiriki tendo la ndoa ama baada. Huwenda post hii ikakusaidia.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mabaka yanayowasha chini ya matiti, ni ugonjwa ambao uwapata wanawake walio wengi na wengine hawajapata jibu Sababu zake ni zipi na pengine uchukua hatua za kutumia miti shamba wakidai juwa hospitalini nugonjwa huu hautibiwa, ila n
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa wale wenye tabia ya kutoa mimba mara Kwa mara .
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukufunza mambo mengi kuhusu tezi dume kama chanzo, dalili, matibabu, njia za kujikinga na mambo hatari yanayoweza kukusababishia kupata tezi dume.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kuongeza uwezo wa kuzaa au kuzalisha kwa sababu kuna familia nyingi zinakosa watoto sio kwa sababu ni tasa ila kuna njia mbalimbali za kuongeza uwezo wa kuzaa kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu siku za kutafuta ujauzito
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za ujauzito baada ya tendo la ndoa
Soma Zaidi...