siku za hatari

Hizi ni siku za hatari kupata ujauzito.Siku hizi ndio siku za kupata mimba kwa urahisi

siku za hatari

Nataka kujuwa ni sikpsiku za hatari kupata mimbaNamba ya swali 000

Siku hatari kupata mimbainategemea na mzunguruko wako wa hedhi. Kama una siku 28 basi siku zako hatari ni kuanzia siku ya 11 mpaka 17. Fanya hivi kujuwa siku yako hatari,

Tafiti zinaonyesha kuwa yai huweza kuanza kukomaa kuanzia siku ya 10 toka kupata hedhi mpaka siku ya 14. hii ni kwa wanawake wengi. Ila si wote. Kikawaida yai hutolewa (ovulation) kwa makadiria ya siku 12 mpaka 16 kabla ya kupata hedhi nyingine. Yaani unaweza kuhesabu kabla ya kuingia hedhi siku 12 nyuma, kisha toa siku 4 mnyuma ndani ya siku nne zizi ndizo yai hutolewa. siku hizi ndizo moja wapo yai hutolewa. Kwa mfano:--

Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21, sasa tunatoa siku 12 nyuma kabla ya kuingia hedhi (21 - 12 = 9) kisha toa nne nyuma (9-4=5) basi mwanamke huyu anaweza kutoa yai kati ya siku ya 5 na 9 katika siku zake.

Sasa baada ya kuzijua siku hizi ambazo yai hukomaa, inabidi ufahamu kuwa yai la mwanamke huweza kuishi kati ya masaa 12 mpaka 24 toka kukomaa (ovulation). kwa upande mwingine mbegu za kiume huisho kati ya siku 3 mpaka 5. hivyo ujauzito unaweza kutungwa kwa mbegu ambayo ilikuwepo toka siku tatu zilizopita.Namba ya swali 065

Na ni zipi dalili za kuwa ipo kwenye siku hatari?Namba ya swali 065

Siku hatari zina dalili hizi:-
1. Joto la mwili huongezeka
2. Majimaji ukeni huongezeka ila sio mazito yanakuwa ni mepesi ya kuteleza kwa mbali
3. Hamu ya kushiriki tendo la ndoa huongezeka
Namba ya swali 65

Ahsante Mungu awabariki kwa elimu ya Afya mnayotupaNamba ya swali 000

Karibu tena hapa bongoclass

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 228

Post zifazofanana:-