Post hii inahusu zaidi dawa ya fluconazole ni dawa ya kutibu fangasi za aina au za sehemu mbalimbali,
1. Dawa ya fluconazole ni aina ya dawa inayotumika kutibu fangasi za aina mbalimbali kama vile fangasi za kwenye koo, fangasi za kwenye oesophageal na fangasi za kwenye sehemu za siri,hii ni dawa ya kwanza iliyopendekezwa kwa kutibu fangasi mbalimbali kwenye watu mbalimbali.
2. Katika matumizi ya dawa hizi pia kuna maudhi maudhi madogo yanaweza kutokea ambayo ni pamoja na kutapika, kuharisha, na upele upele kwenye ngozi,na dalili hizi zikionekana ni kwenda kwa daktari mara moja au kwenda kwa wataalamu wa afya.
3. Dawa hii inatumika ila kuna watu ambao hawapaswi kutumia kwa mfano wale wenye aleji na pia dawa hizi uingiliana na matengenezo ya adrenal gland ambayo usaidia katia kutengeneza gonadal steroids na pia usababisha kubadilika kwa hedhi na pia matumizi ya mara kwa mara usababisha ugumba.
4. Kwa watumiaji wa dawa hizi wakipata tatizo la kubadilika kwa hedhi wasishangae kwa sababu hizi dawa uingilia na system za hedhi kwa ujumla.na pia matumizi ya mara kwa mara ya dawa hii sio nzuri ukitumia mara ya kwanza na nafuu haipatikani ni lazima kupata ushauri wa wataalamu wa afya ili kuweza kuepukana na matatizo makubwa kama vile ugumba na mambo kama hayo.
5. Katika matumizi ya dawa hii ni vizuri kabisa kula vizuri ukashiba na kutumia maji mengi ya kutosha kwa sababu maji mengi usaidia kupunguza sumu mwilini kwa hiyo tusipende kutumia dawa hii kiholela kwa sababu matatizo yake ni makubwa ikiwa matumizi hayaeleweki kwa sababu ni vizuri kuwaona wataalamu wa afya kabla ya kutumia dawa hii.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
hapa utajifunza dalili za fangasi, dawa ya fangasi na aina za fangasi, pia nitakujuza njia za kukabiliana na fangasi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu ambao wana uwezo wa kutumia vidonge vya zamiconal, ni baadhi ya watu au makundi yanayoweza kutumia vidonge hivi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya streptomycin ni dawa mojawapo ya kupambana na bakteria hasa wanaoshambulia mfumo wa hewa.
Soma Zaidi...Maumivu ya mgongo hutokea sana kwa wajawazito. Ijapokuwa ni hali ya usumbufu sana ila hakikisha hautumii madawa kiholela kutoka maduka ya dawa ama miti shamba. Kwani ukikisea kidogobinawezabhatarisha afya ya mtoto
Soma Zaidi...Post hii inahusu dawa za kutuliza kifafa, zipo dawa mbalimbali za kutuliza kifafa Leo tutaona dawa mojawapo inayoitwa phenobarbital katika kutuliza kifafa.
Soma Zaidi...Flagyl ni nini? Flagyl (metronidazole) ni antibiotic. Inapigana na bakteria katika mwili wako. Flagyl hutumiwa kutibu maambukizo ya bakteria ya uke, tumbo, ngozi, viungo na njia ya upumuaji.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa ya chango na maumivu ya hedhi
Soma Zaidi...PoPosti hii inahusu zaidi vyakula ambavyo unaweza kutumia iwapo umepata tatizo la kiungulia
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya cloxacillin ambayo Iko kwenye kundi mojawapo la penicillin ambalo uzuia enzymes zinazotengenezwa na bakteria.
Soma Zaidi...