Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupima mimba kwa kutumia chumvi sukari na sabuni
JE NAWEZA UPIMA UJAUZITO KWA KUTUMIA CHUMVI NA SUKARI?Haswa hili ni swali zuri, wanawake wengi wamekuwa wakitafuta makala hizi na wanazipata. Namna ya kupima ujauzito kwa kutumia sukari ama chumvi. Ila nikwambie kitu si sukari na chumvi tu balli zipo njia nyingine kama:-
Njia nyingine za kupima ujauzito ukiwa nymbani:-1.Sukari2.Chumvi3.Sabuni4.Mafuta5.Delto6.Shampoo7.Dawa ya mswaki na yingine.
Nini kinafanyika. Unachanganya kiasi cha mkojo vyema ukawa wa asubuhi. Unaandaa chombo na kuweka moja kati ya hizo zilizotajwa juu. Unaweza kutumia kijiko kimoja kcha mkojo ama kikombe. Uwiyano wa vilivyotaja juu uwe zawa na mkojo, ama mkojo uziti kidogo. Kisha subiria kwa dakika 5 hadi 10. kama utaona mabadiliko yeyote ya rangi yametokea ama utaona kuna mapovu yanachemka basi takuwa ni mjamzito.
Je nji hizi ni sahihi?Kwa ufupi njia hizi si sahihi kabisa. Haziwezi kukupa majibu ya kweli. Waandishi wengi wameandika lakini ukweli ni kuwa huu ni uwongo. Njia sahihi ni kwenda kupima kwa kipimo maalumu, vinginevyo utapoteza muda bure. Yes wakati mwingine unaweza kupima ukaona mabadiliko na ukawa ni mjamzito kweli. Lakini mabadiliko hayohayo utakayoyaona anaweza kuyaona hata asiye mjamzito.
Je watu wa zamani walikuwa wanapimaje ujauzito?
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza njia za kuhakiki Kama u-mjamzito
Soma Zaidi...Kuna uwezekano una ujauzito ila hujajijuwa, huwenda hujapata dalili zozote. Unataka kujuwa kama una ujauzito baada ya tendo la ndoa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu msaada kwa mwenye maumivu ya tumbo la hedhi, hizi ni huduma ambazo utolewa kwa wale wenye maumivu ya tumbo la hedhi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuongea na Mama mjamzito ili kuweza kugundua tatizo lake na kutoa msaada pale penye uhitaji.
Soma Zaidi...Abali mkuu Nina mdogo wangu anawashwa Sana sehemu ya Siri mpaka anatoka vipele vingi kwenye mapaja korodani zake zimebadilika kuwa nyekundu na zenye kutisha uume wake nao umekuwa unakama mabaka umebabuka aisee nime angaika Sana kumtibia mpaka nakata tamaa
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi vipimo muhimu kabla ya kubeba mimba,ni vipimo vya moja kwa moja kutoka maabara na vingine sio vya maabara.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili mbalimbali za kutokwa na damu baada ya hedhi hili ni tatizo ambalo uwapata wanawake wengi pamoja na akina Mama kwa sababu ya kutokwa na damu yenye utelezi baada ya hedhi.
Soma Zaidi...Utajifunza sababua zinazopelekea kuhisi maumivu makali ya tumbo baada ya kumaliza tendo la ndoa
Soma Zaidi...