Umuhimu wa maji yaliyomo kwenye mfuko wa mtoto akiwa tumboni mwa mama

Post hii inahusu zaidi umuhimu wa maji yaliyomo kwenye mfuko wa mtoto akiwa tumboni. Ni maji ambayo kwa kitaalamu huitwa (Amniotic fluid)

Umuhimu wa maji yaliyomo kwenye mfuko wa mtoto akiwa tumboni mwa mama.

1. Usaidia kuzuia uharibifu wowote ambao unaweza kujitokeza iwapo mtoto akiwa tumboni mwa mama

2.huifathi joto na kuhakikisha Kuna joto la kufaa na linalohitajika kwa ajili ya mtoto

3. Hayo maji utumiwa na mtoto kwa ajili ya kunywa anapokuwa tumboni, kwa hiyo hayana uchafu wowote

4.husaidia kufunguka njia pale mwanamke anapokuwa anajifungua

5.husaidia mtoto kuogelea na kuzunguka sehemu ambalimbali anapokuwa tumboni

6. Husaidia kulegeza  misuli ya Mama pale anapojifungua

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Author Tarehe 2021/11/19/Friday - 03:08:06 pm     Share On Facebook or WhatsApp Imesomwa mara 1110

Post zifazofanana:-

Ijue timu ya upasuaji
Posti hii inahusu timu ya upasuaji hii ni timu ambayo inahusika katika chumba cha upasuaji, kwa sababu ya kutunza usafi na usalama chumba hiki kinapaswa juwa na timu ya watu wanne na walio na elimu kuhusu kazi hiyo. Soma Zaidi...

Namna ya kuzuia dalili za hatari kwa aliyefanyiwa upasuaji
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia dalili za hatari kwa aliyefanyiwa upasuaji, ni mbinu mbalimbali ambazo utumika ili kujaribu kuepuka Dalili za hatari kwa aliyefanyiwa upasuaji. Soma Zaidi...

Vyakula vya vitamini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamini Soma Zaidi...

Dalili za saratani ya mapafu
Saratani ya Mapafu ni aina ya Kansa inayoanzia kwenye mapafu. Mapafu yako ni viungo viwili vya sponji kwenye kifua chako ambavyo huchukua oksijeni unapovuta na kutoa kaboni dioksidi unapotoa nje. Soma Zaidi...

Namna ya kutoa huduma kwa mgonjwa wa Dengue.
Posti hii inahusu zaidi huduma anayopaswa kupata mgonjwa wa ndengue, kwa sababu tunafahamu wazi Ugonjwa huu hauna dawa ila kuna huduma muhimu ambayo anaweza kupata na akaendelea vizuri. Soma Zaidi...

Dalili za Homa ya uti wa mgongo (meningitis)
Posti hii inahusu zaidi dalili za Homa ya uti wa mgongo, ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye maambukizi kwenye uti wa mgongo. Soma Zaidi...

Maji ya Amniotic
Posti hii inahusu zaidi maji ya Amniotic ni maji ambayo uzunguka mtoto na kufanya kazi mbalimbali kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

Umuhimu wa pua kama mojawapo ya mlango wa fahamu
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa pua kama mojawapo ya mlango wa fahamu.pua ni mlango wa fahamu ambao uhusika na kupumua. Soma Zaidi...

Zijue kazi za ovari
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa ovari kwenye mwili wa mwanamke. ovari ni sehemu ambapo mayai ya mwanamke hutunza, kwa hiyo kila mwanamke huwa na ovari ambayo husaidia kutunza mayai. Soma Zaidi...

Visababishi vya magonjwa.
Posti huu inahusu zaidi visababishi mbalimbali vya magonjwa, tunajua wazi kuwa ugonjwa ni hali ya kutokuwa kawaida kwa ogani mbalimbali kwenye mwili na kusababisha mwili kushindwa kufanya kazi zake vizuri. Soma Zaidi...

Ratiba ya chanjo ya Pentavalenti
Posti hii inahusu zaidi chanjo ya pentavalent ni aina ya chanjo ambayo inazuia Magonjwa matano ambayo ni kifadulo, pepopunda, homa ya ini na magonjwa yanayohusiana na upumuaji. Soma Zaidi...

Mkojo usio wa kawaida huwa na vitu vifuatavyo.
Posti hii inahusu zaidi Aina ya mkojo usiokuwaa wa kawaida uwa na vitu vifuatavyo, ukiona dalili kama hizo wahi mapema hospitalini Ili upatiwe huduma. Soma Zaidi...