Post hii inahusu Zaidi ajalia ambazo utokea kwenye kifua Kwa kitaalamu huitwa chest injury,Kwa kawaida kwenye kifua kua sehemu mbalimbali kama vile mapafu,moyo,koo na sehemu mbalimbali, sehemu hizi uweza kupata ajali na kusababisha madhara makubwa,Kwa hiy
Visababishi vya ajali kwenye kifua, ( chest injury).
1. Ajali mbambali zitokanazo na magari au pikipiki.
Kwa wakati mwingine,ajali za magari,piki piki au baskel na vifaa vya usafiri Kwa ujumla usababisha kuwepo Kwa ajali kwenye kifua,kutokana na ajali za vyombo vya usafiri , unaweza kuharibu sehemu ya moyo ,mapafu au koo inawezekana ikawa ya moja Kwa moja au sehemu zake,Kwa hiyo ni vizuri kabisa kuweza kugundua ni shehemu ipi ambayo imepata shida Zaidi kama ajali imetokea kwenye sehemu za kifua.
2. Kuanguka.
Kwa wakati mwingine mtu anaweza kuteleza akaanguka na kusababisha maumivu kwenye sehemu za kifua, inawezekana kuteleza, kuanguka kutoka kwenye mti meza au sehemu yoyote ile ambayo usababisha maumivu kwenye sehemu ya kifua,Kwa hiyo iwapo mtu ameanguka ni vizuri kabisa kuangalia sehemu ya kifua Kwa sababu ya kuwepo Kwa sehemu muhimu kama vile moyo na mapafu.
3. Kuwepo Kwa vitu vyenye ncha Kali kwenye kifua.
Kuna wakati mwingine kunakuwepo na vitu vyenye ncha Kali kwenye kifua ambavyo uingia moja Kwa moja kwenye kifua na kusababisha ajali sehemu ya kifua,na vitu hivyo ni kama risasi za bunduki zikiingia usababisha kuwepo Kwa ajali kwenye kifua au kulengwa Kwa mshale kwenye kifua,vitu hivyo ni hatari sana uweza kusababisha madhara au ajali kwenye sehemu za kifua.
4. Kwa hiyo Kwa sababu sehemu ya kifua ina vitu vingi na vya maana,ni vizuri kabisa kuweza kuwa makini ukiwa ajari imetokea na pia mtu akipata ajali kwenye sehemu za kifua ni vizuri kabisa kumpa mda aweze kutulia na kupumzika ili kuweza kugundua kama Kuna sehemu yoyote haiko sawa au Kwa wakati mwingine, mgonjwa anaweza kuwa anapumua vibaya au Kwa wakati mwingine anakuwa anahisi maumivu sehemu za kifua,Kwa hiyo matababu ya haraka ni lazima.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Vidonda vya tumbo no tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda,hutokea baada ya ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaitwa mucus kuharibika. Vidonda vya tumbo (peptic ulcers) imegawanyika katika ma
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha matatizo yanayosababisha saratani ya mapafu .
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtu hajatibiwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu ugonjwa wa uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo,ni madhara yanayotokea kwenye mfumo mzima wa kupitisha mkojo na via vya uzazi kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo, hizi ni njia ambazo zinapaswa kufuatwa ili kutokomeza kabisa maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo.
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha namna ya kujizuia,Mambo ya Hatari,na na Mambo yanayopelekea Ugonjwa wa ukosefu wa mkojo
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na maambukizi ya tishu ya matiti ambayo husababisha maumivu ya matiti, uvimbe, joto na uwekundu. Pia unaweza kuwa na Homa na baridi. Ugonjwa huu huwapata zaidi wanawake wanaonyonyesha ingawa wakati mwingine hali hi
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukuletea dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanaume
Soma Zaidi...