Dalili za typhid zinapasa kuangaliwa kwa umakini. Bila vipimo mtu asitumie dawa za tyohod, kwanu dalili za tyohid hufanana na daliki za maradhi mengi.
Swali:
Typhoid husabisha mwili kuchoka na maumivu ya kichwa pamoja na joint za miguu kuchoka samahani kwa usumbufu
Jibu:
Hizi ni baadhi ya dalili za Typhoid
1. Maumivu ya kichwa
2. Homa inaweza kuanzakidogo na kupanda mpaka kufika nyuzi joto 40°C
3. Ushovu na nwili kukosa nguvu
4. Maumivu ya misuli na viungio (joints)
5. Kutokwa na jasho jingi
6. Kukauka kwa koo
7. Kukosa hamu ya kula
8. Kupunguwa kwauzito
9. Maumivu ya tumbo
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowSomo hili linakwenda kukueleza kuhusu fangasi wa sehemu za Siri
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za matibabu ya ugonjwa wa saratani,ni ugonjwa ambao unaweza kupona ikiwa umegundulika mapema katika hatua za mwanzo na kama ugonjwa huu umefikia hatua za mwisho Tiba yake huwa ni kupunguza makali ya ugonjwa.
Soma Zaidi...VIPIMO VYA MINYOO Haitoshelezi kuwa na dalili pekee ukathibitisha kuwa una minyoo.
Soma Zaidi...Je na wewe unasumbukiwa na kunggoka jwa kucha. Tatizo limekunaza una muda gani nalo?
Soma Zaidi...Swali hili limeulizwa na mdau mmoja. Kuwa endapo mtu atafanya ngono zembe na akapata virusi je ataweza kuambukiza.
Soma Zaidi...MATATIZO YA CHOO KIDOGO NA FIGOFigo ni kiungo muhimu sana katika uchujaji wa mkojo, na afya ya mfumo wa utoaji taka mwili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi matibabu kwa mtu mwenye kiungulia,ni tiba ambayo mtu anapaswa kutumia kama ana tatizo la kiungulia
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi matibabu ya kutibu ugonjwa wa maumivu chini ya kitovu.
Soma Zaidi...