Hizi ndio dawa za macho yenye ukavu, kuwasha ama kutoa machozi
Dawa ya kutibu ugonjwa wa macho.
Macho ni kiungo kinachotumika katika kuona, lakini ubongo ndio ambao unatafsiri hicho kilichoonwa. Macho yamekuwa yakisumbuliwa mambo mengi. Wakati mwingine shughuli zetu na maeneo tunayoishi huwa ndio sababu kubwa, lakini pia umri unachangia, vyakula tunavyokula huchukuwa nafasi kubwa katika haya.
NAMNA YA KUYATUNZA MACHO
Njia bora ya kuyakinga macho na maradhi mbali mbali
A.Usafi wa mwili na mazingira tunayoishi
B.Kuosha mikono kwa maji safi
C.Kuosha uso mara kwa mara
D.Kuvaa miwani kwa wale wenye kufanya kazi sehemu
E.zenye mavumbi na dereva wa pikipiki
F.Kuvaa miwani ya kiza sehemu zenye mwangaza mkali mfano welding.
G.Epuka kutumia dawa bila ya ushauri wa daktari
H.Epuka tiba za kienyeji kwenye macho
I.Soma kwenye sehemu zenye mwangaza wa kutosha.
J.Kula tunda angalau mara moja kwa siku
K.Muone daktari kila unapopata matatizo ya macho
Matibabu ya Macho
Matibabu haya hayawezi kutibu maradhi yote ya macho, pia ni vyema ukaonana na daktari wa macho. Kwani kila jicho likichelewa kupata atibabu inaweza kuleta shida. Hata hivyo endapo utapokea tiba isiyo sahihi, unaweza kupata matatizo zaidi. Baadhi ya dawa na matibabu ya macho ni:-
1.Miwani, onana na daktari wa macho, huwenda tatizo lako likatibiwa na miwani.
2.Chloramphenicol
3.Fusidic acid
4.Ciprofloxacin
5.Hypromellose
6.Carbomer
7.Latanoprost
8.Timolol
Umeionaje Makala hii.. ?
Je unasumbuliwa na maambukizi na mashambulizi ya virusi na bakteria kwenye sehemu za siri ama via vya uzazi?. Posti hii inakwenda kuupa ushauri.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi kundi la diuretics,ni kundi mojawapo kati ya makundi ya dawa zinazosaidia katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
Soma Zaidi...Kukawa na gesi tumboni kunaweza kuwa ni dalili ya shida kwenye afya, hasa katika mfumo wa chakula. Hali itakuwa sio nzuri endapo utakosea hamu ya kula na kuhisivkushiba muda wowote.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya Parental Artusnate ni dawa inayotumika kutibu ugonjwa wa malaria sugu kama tutakavyoona hapo baadaye.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya Prednisone ambayo usaidia katika kupambana na aleji.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa ya chango na maumivu ya hedhi
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya Acetohexamide kwa matibabu ya sukari, kama tulivyoona katika post iliyopita kwamba kuna kipindi ambacho kongosho linatoa insulini lakini seli haziko tayari kupokea hiyo insulini.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa za magonjwa ya moyo, ni dawa ambazo utumika kusaidia pale moyo kama umeshindwa kufanya kazi ipasavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea tiba mbadala za vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi matumizi ya dawa za vidonda vya tumbo, ili kuweza kutumia dawa hizi ni vizuri kabisa kufuata mashariti kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...