Post hii inahusu zaidi dawa ya Acetohexamide kwa matibabu ya sukari, kama tulivyoona katika post iliyopita kwamba kuna kipindi ambacho kongosho linatoa insulini lakini seli haziko tayari kupokea hiyo insulini.
1 Dawa ya Acetohexamide ni dawa ambayo usaidia wagonjwa wa kisukari kwenye daraja la pili ambapo kongosho lina uwezo wa kutoa insulini lakini seli hazipokei hiyo insulini kwa sababu mbalimbali,kwa hiyo kazi ya Acetohexamide ufanya kazi ya kufanya kuhakikisha kwamba seli zinakubali insulini iliyozalishwa.
2. Pia dawa hizi ya Acetohexamide ina maudhui mbalimbali kama vile sukari kushuka , mwili kuishiwa nguvu,macho kutoona vizuri, kutokwa na jasho mara kwa mara, maumivu ya tumbo na kuna kipindi wengine wanazima kabisa.
3. Kwa hiyo dawa hii tusitumie kiholela tunapaswa kuitumia kwa maagizo ya wataalamu wa afya.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi matumizi ya dawa za vidonda vya tumbo, ili kuweza kutumia dawa hizi ni vizuri kabisa kufuata mashariti kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...kama unasumbuliwa na fangasi uumeni, nitakujuza dawa yake, sababu za fangasi uumeni, matibabu yake na njia za kuwaepuka
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya phenytoin,ni dawa inayotuliza mishutuko mbalimbali inayoweza kutokea kwenye mwili na kutokana na mishutuko hiyo tunaweza kupata kifafa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya mebendazole ni dawa ambayo utumika kutibu minyoo ambayo utokea kwa watoto na watu wazima.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa za Doxorubicin and Daunorubicin katika kupambana na kansa.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea dawa ya kuzuia kuathirika kwa watu walio hatarini kupata VVU
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za mitishamba za kutibu meno
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dawa ya Carvedilol na kazi yake, ni dawa inayotibu au kuzuia mapigo ya moyo ambayo yako juu na kusababisha kulegeza kwa mishipa ya moyo.
Soma Zaidi...