Fahamu dawa zinazopunguza maumivu
Post hii inahusu zaidi dawa zinazofanya kazi ya kupunguza maumivu kwa kawaida dawa hizi ufanya kazi kwa kupitia kwenye mfumo wa fahamu.
Dawa za kupunguza maumivu
1 . Hizi ni dawa ambazo kwa kawaida uingia kwenye mfumo wa fahamu na kuvunja mfumo wa kuzalishwa prostagland ambayo usaidia kusafirisha ujumbe kutoka sehemu Moja na kwenda nyingine kwa hiyo kama Kuna maumivu sehemu na ukatumia dawa ya kuzuia maumivu prostaglands uweza kuvunjwa kwa hiyo hayo maumivu hayawezi kusambaa kutoka sehemu Moja kwenda nyingine.
2. Pia dawa hizi haiitumiki kupunguza maumivu ty Bali Kuna nyingine ambazo usaidia kumshusha joto la mwili na kuwa kawaida. Dawa zenyewe ni kama zifuatazo.
- Aspirin
- Paracetamol
- Ibuprofen
- Indomethacine
- Diclofenac
- Morphine
- Pethidine
- Tramadol
- Codeine
- Methadone
3.hizi dawaa uweza kupunguza maumivu ya Kawaida na maumivu makali kadri ya wataalamu wa afya watakavyoweza kueekeza pia dawa hizi Zina utaratibu wake wakati wa kutumia Kuna nyingine hazipaswi kutumiwa na watu Fulani na nyingine zinapaswa kutumiwa na watu Fulani kadri ya maagizo na maelekezo ya wataalamu wa afya ka hiyo hatupaswi kuzitumia kiholela ni vizuri kabisa kutumia kwa maelekezo.
4. Na pia Kuna Mila na destri za watu Katika matumizi ya dawa za maumivu kwa mfano mtu akipata maumivu Fulani ananunua Panadol mbili kama ni mtu mzima kama ni mtoto atatumia kadri ya dozi yake na maumivu yakiisha anaendelea na maisha, na akihisi maumivu tena anaendelea kufanya hivyo hata kwa wiki nzima , kwa kufanya hivyo anakuwa anafubaza ugonjwa hali inayosababisha ugonjwa kuendelea kukua na kulipuka hatimaye hali ya mgonjwa huwa mbaya.
5. Kwa hiyo ni vizuri kabisa ukituma dawa ya maumivu Zaid ya mara mbili bila nafuu wahi hospital mapema Ili kuweza kuepuka madhara yanaweza kuripuka kwa sababu ya matumizi mabaya ya dawa za maumivu, kwa hiyo dawa za maumivu kazi yake ni kupunguza maumivu sio kufubaza ugonjwa.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 web hosting 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 ai web app 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Njia zinazotumika Ili kumpatia mgonjwa dawa
Posti hii inahusu zaidi njia kuu nne ambazo utumika kumpatia mgonjwa dawa, Ili kumpatia mgonjwa dawa Kuna njia za kutumia kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Dawa ya fangasi uumeni
kama unasumbuliwa na fangasi uumeni, nitakujuza dawa yake, sababu za fangasi uumeni, matibabu yake na njia za kuwaepuka
Soma Zaidi...Dawa ya fluconazole kama dawa ya fangasi
Post hii inahusu zaidi dawa za fangasi na matumizi yake kwa kutumia dawa ya fluconazole kama dawa mojawapo ya fangasi.
Soma Zaidi...Fahamu kuhusu dawa ya fluoroquinolones/quinolones
Post hii inahusu dawa ya kupambana na bakteria, hili kundi la fluoroquinolones lina dawa kuu mbili ambazo ni ciprofloxin na ofloxacin.
Soma Zaidi...Matumizi ya dawa ya vidonda vya tumbo
Posti hii inahusu zaidi matumizi ya dawa za vidonda vya tumbo, ili kuweza kutumia dawa hizi ni vizuri kabisa kufuata mashariti kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Dawa ya Isoniazid na kazi zake
Posti hii inahusu zaidi dawa ya lsoniazid nA kazi zake, ni dawa ambayo inasaidia kutibu kifua kikuu kati ya madawa yaliyoteuliwa na kuwa na sifa ya kutibu kifua kikuu.
Soma Zaidi...