Dawa ya quinenes katika kutibu Malaria
Post hii inahusu zaidi dawa e quinine katika kutibu Malaria ni dawa inayotibu Ugonjwa wa Malaria ikiwa dawa nyingine zimeshindwa kufanya kazi.
Kazi ya quinine Katika kutibu Malaria.
1.quinine ni dawa inayotumiwa kutibu malaria dawa hii utumika kutibu Malaria ikiwa mgonjwa vametumia dawa nyingine lakini hakufanikiwa kupona kwa hiyo dawa hii utumika kwa wagonjwa wa Aina hii, kwa hiyo ni dawa yenye nguvu kwa namna Moja au nyingine na inapotumika hutumiwa kwa tahadhari na kwa uangalifu.
2. Dawa hii huwa kwenye mfumo wa vidonge na kwenye mfumo wa Maji maji ambapo dawa ambayo Iko kwenye mfumo wa Maji maji huweza kutumika kwa mgonjwa kwa kuchanganya kwenye drip kwa kipimo fulani na kwa uangalifu mkubwa, ikiwa quinine haijachanganywa na maji na mtu akitumia kupitia kwenye mishipa mgonjwa anaweza kupoteza maisha kwa hiyo dawa hii inabidi kutumiwa kwa uangalifu sana na kwa mtu anayeitoa uhakikisha kuwa inaenda vizuri, hii dawa uangaliwa kwa makini kwa Sababu Ina Tabia ya kumaliza sukari mwilini.
3.Dawa hii pia huwa na matokea au maudhi ambayo uweza kutokea kama vile kutapika kwa mgonjwa pale anapokuwa anatumia dawa, kizunguzungu utokea kwa kwa wagonjwa wakati mwingine mgonjwa uziba masikio kwa sababu ya dawa zile anazozitumia na pengine mgonjwa uona shida katika kuona kwa sababu hiyo anaanza kuhangaika wakati wa kuona , na kwa wagonjwa wengine wanashindwa kutulia kwenye sehemu Moja uhangaika sana kwa sababu ya maumivu wanayopata kutokana na dawa hii ya maumivu kwa hiyo tuwe makini katika kuwahudumia.
4.kwa hiyo dawa hii ya quinine Ina nguvu sana haipaswi kutumiwa na watu ambao hawana shida maalumu kama vile allergies kwa dawa nyingine za malaria wanapaswa kutumia wale tu ambao wameitumia dawa nyingine za malaria na hawakupata nafuu na katika kutumia dawa nyingine za malaria kwa hiyo tunapaswa kuwa waangalifu katika kutumia dawa hii ya quinine na watu wale wanaopungukiwa sukari mara kwa mara hawapaswi kutumia dawa hii au wakitumia waitumie kwa uangalifu mkubwa sana.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 ai web app 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Dawa ya vidonda vya tumbo
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Imani potofu kuhusu madawa ya hospitalini
Post hii inahusu zaidi imani potofu kuhusu madawa yanayotolewa hospitalini, ni imani waliyonayo Watu hasa Watu wa bi vijijini na hata wa mjini nao wameanza kutumia madawa ya miti shamba kwa wingi.
Soma Zaidi...Fahamu kuhusu dawa ya Albendazole
Post hii inahusu zaidi dawa ya Albendazole ni mojawapo ya dawa ambazo usaidia kutibu minyoo, na pia imefanikiwa sana kadri ya watumiaji wa dawa hiyo.
Soma Zaidi...Fahamu kuhusu dawa ya fluoroquinolones/quinolones
Post hii inahusu dawa ya kupambana na bakteria, hili kundi la fluoroquinolones lina dawa kuu mbili ambazo ni ciprofloxin na ofloxacin.
Soma Zaidi...Fahamu kuhusu dawa ya pyrantel pamoate
Post hii inahusu zaidi dawa ya pyrantel pamoate ni dawa ambayo usaidia kutibu minyoo ambayo kwa kawaida ukaa kwenye utumbo mdogo.
Soma Zaidi...