Posti hii inahusu zaidi dalili za kansa, ni dalili ambazo utokea kwa mtu Mwenye tatizo la ugonjwa wa Kansa ingawa sio lazima dalili hizi kutokea tukadhani kuwa ni Kansa Ila zilizonyingi huwa ni kweli dalili za kansa.
Dalili za kansa
1.Mabadiliko ya sauti na kikohozi
Mabadiliko ya sauti na kikohozi ni dalili mojawapo ya Kansa ya koo, pengine sauti ugoma kutoka ambayo uandamana na kikohozi Cha mara kwa mara na pengine chakula ushindwa kupitia kwenye Koo.
2.Matatizo ya kutopata choo kwa mda mrefu. Matatizo ya kutopata choo huwa ni mojawapo ya dalili za kansa ya utumbo mkubwa, au pengine choo huwa na damu hali ambayo upelekea choo,kuwa kigumu sana na pengine choo klainika kusiko kwa kawaida ambapo ni viashilia vya Kansa.
3.Mabadiliko kwenye haja ndogo.
Dalili mojawapo ya Kansa ya kibofu Cha mkojo ni pale ambapo mtu uanza kukojoa damu na pengine uchafu kutoka kwenye kibofu Cha mkojo ukiwa na rangi ya njano, hii ni mojawapo ya Kansa ya kibofu Cha mkojo.
4.Maumivu ya mda mrefu kwenye sehemu yoyote kwa mfano maumivu ya kichwa, miguu na sehemu nyingine nyingi ambapo hata ikitumiwa dawa maumivu hayo upoa na kwa mda fulani uanza tena kwa ujumla maumivu ambayo haya sikii dawa na dalili ya ugonjwa wa kwanza
5.Mabadiliko ya uvimbe
Pengine Kuna uvimbe utokea na kupotea na huwa inauma au pengine hauumi, na baadae utokea sehemu mbalimbali kwa mtindo tofauti na kwa mda tofauti,hizi ni dalili za kansa.na ikitokea ukaguswa kwa kupasuliwa ndipo dalili uongezeka zaidi.
6.Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi na kutokwa damu kwa wale wanawake ambao walishamaliza kipindi Chao Cha hedhi, hii uonesha kuwa na dalili za kansa kwenye kizazi na pengine siku za hedhi ubadilika badilika kuliko kawaida.
7.Kupungua kwa uzito kupitia kiasi
Dalili nyingine ya Kansa ni kupungua uzito kuliko kawaida,hii utokea hasa wakati wa dalili za mwanzoni ambapo uzito wa mgonjwa unapungua hata kama abatumia chakula Cha Aina gani.
Dalili hizo ni za kansa lakini Kuna pangine mtu anaweza kupata dalili kama hizi lakini sio Kansa, Ila kwa uhakika zaidi tunapaswa kwenda hospitalini kuangalia afya zetu zaidi, kwa hiyo sio kila mwenye Dalili za hapo juu ana Kansa.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowSwali hili limeulizwa na mdau mmoja. Kuwa endapo mtu atafanya ngono zembe na akapata virusi je ataweza kuambukiza.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi magonjwa nyemelezi ambayo kwa kawaida utokea pale ambapo kinga ya mwili inashuka.
Soma Zaidi...NJIA ZA KUKABILIANA NA MINYOO Kwa kuwa tumekwisha kuona namna ambavyo minyoo huenezwa, hivyo basi ni rahisi sasa kutaja namna ya kubambana na minyoo.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na Magonjwa mbalimbali ambayo watoto chini ya miaka wanaweza kuyapata kiurahi.
Soma Zaidi...Je na wewe ni katika wanaosumbuka sana kujuwa dalili za kwanza za ukimwi toka siku ya kwanza, ama dalili za ukimwi kwenye ulimi, ama unatakakujuwa ni muda gani ukimwi huonekana, na je ukishiriki ngono zembe ndio utapata ukimwi? Basi makala hii ni kwa ajil
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya maambukizi kwenye tumbo,hasa pale ambapo mgonjwa hakutibiwa
Soma Zaidi...Ugonjwa wa bakteria unaoambukizwa na kupe ambao husababisha dalili kama za mafua. Dalili na ishara za Ugonjwa huu ni kati ya kuumwa na mwili kidogo hadi homa kali na kwa kawaida huonekana ndani ya wiki moja au mbili baada ya kuumwa na kupe. Njia bora ya
Soma Zaidi...Weupe kwenye ulimi unaweza kuwa ni hali ya kawaida. Weupe huu ukichanganyika na utandu huwenda ikaashiria uwepo wa hali fulani za kiafya.
Soma Zaidi...