JITIBU KWA MUAROBAINI: faida za kiafya za muarobaini

1.

JITIBU KWA MUAROBAINI: faida za kiafya za muarobaini

FAIDA ZA MUAROBAINI

1.Kutibu vidonda

Hii hifanyika kwa kusaga majani ni muarobaini kasha unapaka majimaji yake kwenye kidonda kwa. Hivi utafanya kwa uchache kwa siku. Fanya hivi mpaka kidonda kikauke.

2.kutibu matatizo ya macho

Hii hufanyika kwa kuchemsha majani ya muarobaini. Subiri mpaka maji yapoe kasha tumia maji haya kusafisha macho yako. Husaidia miwasho ya macho na matatizo mengineyo

3.matatizo ya masikio

Saga majani ya muarobaini kasha changanya na asali. Tumia matone machache ya mchanganyiko huu kwenye sikio.

  1. kwa muasho wa ngozi

Saga majani ya muarobaini kasha paka kwenye ngozi

5.husaidia kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili. Kunywa glass ya maji ya  majani ya muarobaini yaliyochemshwa.                   

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 272

Post zifazofanana:-