Je unapata dalili zisizoeleweka ni ni za mimba ama laa. Hapa nitakujuza hali baadhi ya wanawake zinazowatokea.
Swali
Sorry nilikuwa nauliza swali kutokana na mada niliyoisoma kuhusiana na dalili za mimba.....huwa na kawaida ya kwenda siku tano katk hedhi yangu ila safari hii nimeingia nne na siku ya tano nikakutana na mme wangu ila chakushangaza baada kama masaa matatu kupita baada ya tendo ikatoka damu kidogo ambayo imenishtua na kwa sasa inafika wiki ya pili hii na nnahic kichefu chefu kizunguzungu...maumivu ya kichwa na tumbo baadhi ya siku....pia leo umetoka uchafu mweupe kidogo ukeni hali ambayo imenishtua kwa kiasi flani......hivyo kutokana na hali hiyo inaweza ikawa ni mimba au ni maradhi mengine tu??
Jibu:
âœï¸ fika kituo cha afyavupime ujauzito huwenda umebeba
âœï¸ huwenda una PID hivyo pata vipimobhospitali kuthibitisha
âœï¸Inaweza pia kuna ukavu wa ukenivukawa ndio sababu ya damu
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowSomo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za minyoo na sababu zake
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha mambo mbalimbali yanayoweza kusababisha Ugonjwa wa kifua kikuu kwa watoto chini ya miaka mitano.
Soma Zaidi...VIPIMO VYA MINYOO Haitoshelezi kuwa na dalili pekee ukathibitisha kuwa una minyoo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna au njia za kuepuka na Ugonjwa huu wa ngiri ambao uleta madhara kwa watoto, vijana na watu wazima, kwa hiyo ili tuweze janga hili ni lazima tufanye yafuatayo.
Soma Zaidi...Hivi umeshawahi kuwazakuwa jekipimo cha HIV ni sahihi kwa kiasi gani. Unadhani huwa kinakoseaga kutoa majibu?
Soma Zaidi...Madhara ya ugonjwa wa akili yanaweza kuwa ya muda au ya kudumu. Unaweza pia kuwa na zaidi ya ugonjwa mmoja wa afya ya akili kwa wakati mmoja. Kwa mfano, unaweza kuwa na ulegevu na ugonjwa wa matumizi ya madawa ya kulevya.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kushindwa kupitisha mkojo, ni madhara makubwa yanayotokea kwa mtu iwapo akishindwa kupitisha mkojo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye milija (follapian tube) kwa kitaalamu huitwa salpingitis, ni maambukizi kwenye milija ambayo husababishwa na bakteria.
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha kiufupi kabisa madhara ya minyoo kwenye mwili wa binadamu. Yafuatayo Ni madhara ya minyoo;
Soma Zaidi...