Je daktari hizo dalili zamwanzo za HIV hazioneshi kama mwili kupungua
Dalili za HIV zina utofauti na dalili za UKIMWI. Kwani HIV huwezakuonyesha dalili wiki ya pili hadi ya sita baada ya kuathirika kisha zinapotea, lakini dalili za UKIMWI huwezakutokea baada ya miaka 5 hadi 10.
Swali:
Je daktari hizo dalili zamwanzo hazioneshi kama mwili kupungua?
Jibu:
👉Kukonda sio dalili ya HIV. Hali hii huweza kutokea endapo UKIMWI utakuwa umechukuwa nafasi kwenye mwili.
👉Unaweza kukonda kwamagonjwa mengine pia. Kama unahisi una maambukizi ni vyema ukafika kituo cha afya kwa vipomo zaidi.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 ai web app 👉5 Kitau cha Fiqh 👉6 web hosting
Post zinazofanana:
Kuona damu kwenye mkojo
Kuona damu kwenye mkojo kunaweza kusababisha wasiwasi. Ingawa katika hali nyingi kuna sababu zisizofaa, Damu kwenye mkojo (hematuria) pia inaweza kuonyesha ugonjwa mbaya.
Soma Zaidi...Homa ya matumbo (Typhoid): Dalili na jinsi inavyoambukizwa.
Homa ya matumbo, inayojulikana kitabibu kama Typhoid Fever, ni ugonjwa hatari wa kuambukiza unaosababishwa na bakteria aina ya Salmonella Typhi. Makala hii inatoa mwongozo wa kina kuhusu namna bakteria hawa wanavyosambaa kupitia vyakula na maji yaliyochafuliwa, dalili za kliniki unazopaswa kuzizingatia, pamoja na umuhimu wa usafi wa mazingira na chanjo katika kuzuia maambukizi haya. Lengo letu ni kukupa elimu itakayokusaidia kujilinda wewe na jamii yako dhidi ya maradhi haya yanayoweza kuzuilika.
Soma Zaidi...Dalili zinazoonyesha joto la kupungua mwilini (hypothermia)
joto la mwili wako linapungua, moyo wako, mfumo wa neva na viungo vingine haviwezi kufanya kazi kwa kawaida. Isipopotibiwa, Hypothermia hatimaye inaweza kusababisha moyo wako na mfumo wa upumuaji kushindwa kabisa na hata kifo.
Soma Zaidi...Dalili za minyoo mviringo (ascariasis)
Ascariasis ni aina ya maambukizi ya minyoo mviringo. Minyoo hii ni vimelea wanaotumia mwili wako kama mwenyeji kukomaa kutoka kwa mabuu au mayai hadi minyoo wakubwa. Minyoo ya watu wazima, ambayo huzaa, inaweza kuwa zaidi ya futi (sentimita 30) kwa
Soma Zaidi...Matatizo ya unene kwa watoto (childhood obesity)
post Ina onyesha madhara na matatizo ya Unene Utoto ni hali mbaya ya kiafya inayoathiri watoto na vijana. Inatokea wakati mtoto yuko juu ya uzito wa kawaida kwa umri na urefu wake
Soma Zaidi...