Maumivu ya tumbo yanaweza kusababishwa na mambo mengi ikiwemo typhod, vidonda vya tumbo na shida nyingine kwenye mfumo wa chakula.
Swali:
Habari nasumbuliwa na tumbo upande wakilia adi nikikojoa mkojo wa mwisho uwa wa kahawia tiba take nini?
Maumivu kwenye tumbo upande wa kulia yanaweza kuwa ni dalili ya shida kwa afya. Mfano maumivu haya yanaweza kusababishwa na: -
1. Tumbo kujaa gesi
2. Shida kwenye figo
3. Mimba iliyotungia nje
4. Shida kwenye mfumo wa uzazi kama ovari
5. Ugonjwa wa PID
6. Kukosa choo
7. Hekima
8. Apendix
Zipo sababu nyingi zinazosababisha maumivu haya. Majibu hutegemea nanamna ambavyo yanauma. Pia baada ya vipimo utapata majibu hasa.
Maumivu haya yanaweza kuondoka hata bila ya kumeza dawa. Lakini kufika Kituo cha afya ni vyema zaidi.
Muone haraka daktari endapo maumivu haya yatachanganyika na: -
1.Maumivu na mkandamizo kwenye kifua
2.Homa
3.Damu kwenye kinyesi
4.Kuendelea kwa kichefuchefu na kutapika kwa masiku kadhaa.
5.Ngozi kuwa na rangi ya njano
6.Kukaza kwa tumbo sana unapoligusa
Ama kuhusu mabadiliko ya rangi ya mkojo, kunywa maji kwa wingi ama fika kituo cha afya kupima UTI.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Huu ni ugonjwa wa fangasi wanaosababishwa na mashambulizi ya fangani aia ya yeast waitwao candida.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili mbalimbali ambazo Uweza kujitokeza na kuona kwamba ni Dalili za miguu kufa ganzi, pengine utokea kwa watu wote na pengine huwa ni kwa ghafla
Soma Zaidi...Kama tulivyokwisha kuona kuwa malaria inaweza kuambukizwa kwa kung'atwa na mbu aina ya anophelesi.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za kutokutibu fangasi
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi kichaa cha mbwa,au kwa kitaalamu huitwa rabies, utokea pale mtu anapongatwa na mnyama ambaye ni jamii ya mtu au mbwa mwenyewe
Soma Zaidi...Some Hili linakwenda kukueleza kuhusu matibabu ya vidonda vya tumbo sugu
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukuletea dalili za fangasi wa sehemu za Siri kwa wanaume
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupambana na fangasi
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha kiufupi kabisa madhara ya minyoo kwenye mwili wa binadamu. Yafuatayo Ni madhara ya minyoo;
Soma Zaidi...