Posti hii inahusu zaidi vyanzo vya magonjwa yanayotokea kwenye sehemu za siri,kwa sababu siku kwa siku kuna magonjwa mengi yanayotokea kwenye sehemu za siri ila kuna vyanzo mbalimbali ambavyo usababisha kuwepo kwa magonjwa kwenye sehemu mbalimbali za siri
1. Kuna matumizi ya njia za uzazi wa mpango kwa kutumia vitanzi.
Kwa kawaida kwenye njia ya via vya uzazi hapatakuwi kitu chochote kuwepo isipokuwa kama kuna mimba na mfumo mzima wa mzunguko wa damu ila kwa matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama vile kuwepo kwa vitanzi ambayo vina kemikali mbalimbali ambazo uzuia mimba kutungwa, kwa sababu ya kuwepo kwa kemikali hizo usababisha kiasi kikubwa cha kuwepo kwa magonjwa mbalimbali kwenye sehemu za siri.kwa hiyo katika matumizi ya vitanzi ni vizuri kuwasiliana na wataalamu wa afya ili kuweza kupata matumizi sahihi.
2. Kubadilisha wapenzi mara kwa mara.
Kuna tabia ya watu wanaobadilisha wapenzi mara kwa mara , kumbuka wapenzi hao kila mtu ana ugonjwa wake kwa hiyo katika matumizi ya wapenzi hao bila kutumia kinga usababisha kuwepo kwa magonjwa ya siri.
3. Kwa hiyo ni vizuri kabisa kuwa na mpenzi mmoja kama haujaolewa au ukiamua kuchepuka ni lazima kutumia kinga ili kuweza kuepukana na magonjwa ya siri kwa hiyo ni vizuri kabisa kupata hata matibabu na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya ili kuweza kuepukana na madhara ya kuwepo kwa magonjwa kwenye sehemu za siri.
4. Matumizi ya bidhaa za marashi na aina yoyote ya vipodozi kwenye sehemu za siri.
Kuna tamaduni au utaratibu ambao unagundulika kila siku ambapo wanawake wanapenda kuweka mafuta na maradhi kwenye sehemu za siri ili kuweza kuwa kufurahisha wanaume zao, haya manukato na marashi usababisha kuua bakteria walio wazuri na kusababisha kuwepo kwa Ugonjwa kwenye sehemu za siri.
5. Kunyonywa kwenye sehemu za siri.
Kwa sababu ya maendeleo ya sayansi na teknolojia kuna kila aina ya vitu vinaibuka kila siku ambapo wanaume wengi wanapofanya ngono au wanapojamiiana mwanaume umnyonya mwanamke ili kuweza kusisimua hisia ,kwa hiyo mwanaume uweka bakteria wa mdomo wake kwenye uke ambapo Usababisha kuwepo kwa bakteria wa mdomo kwenye uke na kusababisha magonjwa kwenye sehemu za siri.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi Dalili zinazoweza kujitokeza baada ya sehemu ya kupeleka taarifa kwenye ubongo imearibika, kwa hiyo mambo yafuatayo yakijitokeza utajua wazi kuwa kuna matatizo kwenye mfumo wa kupeleka taarifa kwenye ubongo.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ngozi kuwa kavu si mbaya, lakini inaweza kusumbua na isipendeze, ikitengeneza mistari laini na Mikunjo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi tatizo la kushindwa kushuka kwa makende kutoka kwenye tumbo kwenda kwenye skolatumu(scrotum).
Soma Zaidi...Mawe kwenye figo yana sababu nyingi na yanaweza kuathiri sehemu yoyote ya njia yako ya mkojo kutoka kwa figo hadi kibofu chako.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na tatizo la damu kutokufikia tishu baada ya kutokea jeraha kwenye tishu ambao hujulikana Kama gangrene inahusu kifo cha tishu za mwili kutokana na ukosefu wa mtiririko wa damu au maambukizi ya bakteria. Ugonjwa wa gangre
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili na Sababu za Homa ya manjano ya watoto wachanga ni kubadilika rangi kwa manjano katika ngozi na macho ya mtoto mchanga. Homa ya manjano ya mtoto hutokea kwa sababu damu ya mtoto ina ziada ya rangi ya
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kushindwa kupitisha mkojo, ni madhara makubwa yanayotokea kwa mtu iwapo akishindwa kupitisha mkojo.
Soma Zaidi...Katika makala hii utajifunza kuhusu kifua kikuu, dalili zake, sababu zake, chanzo chake na mambo hatari kwa mgonjwa.
Soma Zaidi...Je unasumbuliwa na tatizo la kukosa nguvu, kuchoka ama kuhisi viungi vinelegea. Endelea na post hii.
Soma Zaidi...