kuna uhusiano gani kati ya masundosundo naukimwi na je mtu anaweza asiwe nadalili zote hizo hulizo ziainisha akatokewa na masundosundo

kuna uhusiano gani kati ya masundosundo naukimwi na je mtu anaweza asiwe nadalili zote hizo hulizo ziainisha akatokewa na masundosundo

habari samahani nimesoma page yako on line naomba kuuliza swaliNamba ya swali 036

KaribuNamba ya swali 036

ok naomba kujuwa kuna uhusiano gani kati ya masundosundo naukimwi na je mtu anaweza asiwe nadalili zote hizo hulizo ziainisha akatokewa namasundosundoNamba ya swali 036

Virus wakiingia mwilini seli hai nyeupe huanza kupambana mapema sana. Seli hizi zinapatikana sana kwenye mfumo wa limfu. Mfumo huu pia husaidia katika kupambana na virusi na bakteria. Tezi za limfu zinapatikana maeneo ya makwapani, mapajani, na shingoni. Sasa endapo mapambano yakiwa makali zaidi tezi hizi huvimba na kuleta maumivu kama ishara ya kupambana kwake. Ndio maana kuvimva kwa tezi ni dalili za awali kuwa kuna virusi.Namba ya swali 036

Yes unaweza kuathirika na usipate dalili hizi, kina watu wanaathirika na hawaonyeshi dalili yeyote ileNamba ya swali 036Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 202


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-