Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za matibabu ya ugonjwa wa saratani,ni ugonjwa ambao unaweza kupona ikiwa umegundulika mapema katika hatua za mwanzo na kama ugonjwa huu umefikia hatua za mwisho Tiba yake huwa ni kupunguza makali ya ugonjwa.
Njia za kutibu ugonjwa wa saratani.
1.Saratani inaweza kutibiwa kwa kutumia njia mojawapo ambayo huitwa Tiba homoni.
Njia hii dawa mbalimbali utumika Ili kuweza kusimamisha homoni ambazo uzalisha saratani, tukumbuke kuwa Kuna homoni ambazo zikiwa mwilini huwa zinazalisha saratani kwa hiyo hizi homoni kama hazijazuiliwa uendelea kuongezeka na kusababisha madhara kwa mgonjwa , kwa hiyo dawa hizi zimetengenezwa iili kuweza kuzuia kuongezeka kwa homoni hizi ambazo usababisha saratani.
2. Aina nyingine ya kutibu saratani ni Tiba mionzi.
Hii ni njia ambayo utumia mionzi yenye nguvu kuua seli za saratani, tukumbuke kuwa saratani usababishwa na kuwepo kwa seli zisizotarajiwa katika mwili wa binadamu ambapo kwa kitaalamu huitwa Abnormal cell, kwa hiyo Ili kuweza kupunguza maambukizi mionzi yenye nguvu utumika Ili kuweza kuua hizi seli ambazo usababisha saratani. Kwa hiyo kiasi kikubwa Cha seli hizi zikifa na Maambukizi upungua.
3.Aina nyingine ya tiba ni Tiba kemikali.
Hii ni mojawapo ya tiba ya saratani ambapo dawa utumika Ili kuweza kuua seli zinazosababisha saratani kwa hiyo dawa hizi zinaweza kuwa kwenye mfumo wa vidonge au wakati mwingine zinakuwa kwenye muuundo wa Maji maji ambayo ni drip, kwa hiyo upewa mgonjwa na hizi dawa huua seli ambazo usababisha saratani.
4. Njia nyingine bambayo utumika ni upasuaji.
Ni Aina ya njia ambayo utumika kuondoa seli ambazo usababisha saratani, tukumbuke kuwa saratani inaweza kuwa kwenye sehemu yoyote kwenye mwili kwa hiyo kwa kutumia njia hii ya upasuaji kama sehemu fulani imeshambuliwa sana na saratani hiyo sehemu utolewa Ili kuepuka seli hizi kusambaa kwenye sehemu mbalimbali za mwili wa binadamu.
5. Njia nyingine ni kutumia dawa mbadala za miti shamba ambazo utumiwa na watu wengi na wengine wamesshuhudia kupona na pia Kuna kutumia ushauri yaani cancelling kwa wagonjwa wa saratani na watu upunguza mawazo na kuendelea na maisha Yao ya kila siku na wengine wanaotumia masage yaani kunyoosha sehemu iliyoathiriwa na damu inaweza kutembea kwenye sehemu husika na wengine wanaotumia Mazoezi Ili kuweza kutibu sehemu iliyolegea.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili na Sababu za Homa ya manjano ya watoto wachanga ni kubadilika rangi kwa manjano katika ngozi na macho ya mtoto mchanga. Homa ya manjano ya mtoto hutokea kwa sababu damu ya mtoto ina ziada ya rangi ya
Soma Zaidi...Wajawazito wanaposumbuliwa na ugonjwa wa UTI, dalili za UTI na namna ya Kujikinga na UTI
Soma Zaidi...Bipolar disorder ni hali ya afya ya akili inayohusisha mabadiliko makubwa katika hisia, nishati, na shughuli za kila siku za mtu. Dalili za bipolar disorder zinaweza kuwa kwenye kipindi cha mania na kipindi cha unyogovu, zifuatazo ni dalili za ugonjwa wa bipolar.
Soma Zaidi...SABABU ZA KUTOKEA KWA VIDONDA VYA TUMBO Sababu za kawaida za vidonda vya tumbo ni maambukizo na bakteria Helicobacter pylori (H.
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha namna ya kujizuia,Mambo ya Hatari,na na Mambo yanayopelekea Ugonjwa wa ukosefu wa mkojo
Soma Zaidi...Posti hii inahusu dalili za figo.figo husawazisha maji mwilini pamoja na kuchuja mkojo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu watu walio hatarini kupata gonorrhea gonoria
Soma Zaidi...Watu wengi wamekuwa na mawazo kuwa ili nipate ukimwi ninatakiwa nishiriki ngono zembe na aliyeathirika mara ngapi? Majibu ya swali hili ni mafupi tu, ni kuwa unaweza kuathirika kwa ngono zembe ya siku moja tu ndani ya dakika chache. Lakini jambo la kuzing
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi athari za Ugonjwa wa herpes simplex kwa watoto wadogo, tunajua kubwa mama kama ana ugonjwa huu anaweza kumwambikiza mtoto na mtoto akazaliwa na Ugonjwa huu.
Soma Zaidi...