Visababishi vya ugonjwa wa Varicose vein

Posti hii inahusu zaidi visababishi mbalimbali vya ugonjwa wa vericose veini, ni visababishi mbalimbali ambavyo utokea kwenye mtindo wa maisha kama tutakavyoona.

Visababishi vya ugonjwa wa vericose veini.

1. Kisababishi cha kwanza ni tatizo la umri.

Yaani watu wazima wanaopatwa kuliko watoto hasa Wazee.

 

 

 

2. Uja uzito.

Kwa sababu ya kuwepo kwa mgandamizo mkubwa wa protein katika damu wakati wa ujauzito usababisha mishipa kupasuka.

 

3. Uzito uliopitiliza au unene.

Kwa sababu ya kuwepo kwa uzito mkubwa na unene uliopitiliza usababisha kupasuka kwa mishipa kwenye miguu.

 

4. Uwakumba sana wanawake kwa sababu ya kuwepo kwa homoni ambacho usababisha mishipa kupasuka.

 

5. Kukaa kwa mda mrefu au kusimama kwa mda mrefu, nalo ni tatizo kwa sababu usababisha mishipa kupasuka.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/18/Monday - 11:40:57 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1019


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-