Post hii inaenda kufundisha kuhusiana na uvimbe wa kizazi kwa wanawake. Uvimbe wa kizazi no uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambao unaweza kuwa ndan ya kizazi uvimbe huu ndan ya mwanamke hujulikana kama (uterine myoma au fibroid). Uvi
Sababu zinazopelekea kupata uvimbe kwenye kizazi
-progesterone na estrogen kuzid kiwango mwilini
-ujauzito
-uzito kuwa mwingi
-genetiki zisizo za kawaida
-lishe duni
-na sababu nyingine ni ya kurithi
Uvimbe kwenye kizazi umegawanyika ktk makundi matatu nayo no:
1.ndani ya kizazi(submucosal fibroid)
2.ndani ya nyama za.kizazi (intramural fibroid)
3.nje ya kizazi(subserosal).
Dalili za uvimbe kwenye kizazi
-maumivu makali wakati wa siku za hedhi
-kuvimba miguu
-unaweza kuhisi una ujauzito
-maumivu wakati wa ndoa
-kupata haha ndogo kwa taabu
-kutokwa na uchafu ukeni
-kupata choo kigumu
-mimba kutoka mara kwa Mara
-maumivu ya kichwa
-kuvimba sehemu ya chini ya tumbo
Matibabu ; FIBROID SOLUTION ni dawa yenye uwezo mkumbwa katika kutibu uvimbe wa kizazi
Ushauri; ukipata dalili kama hizi usikimbilie kutumia dawa bila kumwona daktari unashauriwa kumwona daktari ili afanye vipimo na ku confirm Kama je ni kwel? Ili akupatie matibabu na namna ya kimfanya ili kuepukana na uvimbe wa kizazi
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inakwenda kukupa sababu zinazoweza kupelekea uke kuwa mkavu yaani kukosa majimaji wakati wa kufanya tendo la ndoa.
Soma Zaidi...Ni vyakula gani anapasa kula mjamzito, na utaratibu mzima wa lishe kwa wajawazito
Soma Zaidi...Hali ya ujauzito huanza kutabirika Mara tu ya kujamiana, pia chemikali (hormon) za mwili huanza mchakato wa kuongeza na kupunguza utendaji kazi wa kemikali hizo mfano.follical stimulating hormon (FSH) na lutenazing hormon kuivisha yai tayari kwa kutengen
Soma Zaidi...Je kupata maumivu sehemu zinazoota mavuzi na kuwa namaumiv wakat wa haja ndogo na pia kwenye kichwa cha uume kunakua kama kunavimb hizo syo dalili moja wapi?
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo ambayo mama mjamzito anatakiwa kuzingatia katika kipindi Cha ujauzito au mimba
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa sababu ya kutumia mara kwa mara vidonge vya P2,
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo mbalimbali ambayo yanapelekea Mjamzito kutokwa na damu, hizi ni baadhi ya sababu ambazo usababisha Mjamzito kutokwa na damu.
Soma Zaidi...Kuzaliwa kabla ya wakati humpa mtoto muda mdogo wa kukua tumboni. Watoto waliozaliwa kabla ya wakati, hasa wale waliozaliwa mapema, mara nyingi huwa na matatizo magumu ya matibabu.
Soma Zaidi...Posti inahusu zaidi mazoezi ya kegel, ni mazoezi ambayo ufanywa na watu wengi na sehemu yoyote yanaweza kufanywa kama vile chumbani, sebuleni, uwanjani na sehemu yoyote ile na kwa watu tofauti.
Soma Zaidi...