Post yetu imebeba mada inayohusiana na wanaume wanaowashwa Uume embu tuone dalili zinazopelekea kuwashwa kwa penis. Uume(penis) ni party ya mwanaume ya sehemu za siri.pia wanaume ambao hawajatahiriwa(unsircumside) kwasababu Ile ngozi ya juu husababishwa k
Zifuatazo no dalili ambazo husababisha uume kuwashwa;
1.uume kutodinda wakati wa asubuhi yaani mwanaume hasimamishi kabisa kwasababu ya muwasho uliopo kwenye penis.
2.ukifika kileleni mbegu za kiume hazitoki(sparms) mwanaume anashindwa kufika kileleni lakini Muda huo simen huweza kutoka Ila sparm hazitoki na mwanaume anaweza kukojoa mkojo mzito .
3.maumivu makali uume unaposimama pale ambapo mwanaume anasimamisha alafu mida huo Ana muwasho kwenye penis hupelekea maumivu makali Sana
4.usaha kutoka kwenye mirija ya mkojo pamoja na maumivu hii nayo ni dalili mbaya ambapo hutokea pale ambapo mwanaume amepata maambukizi ya dalili za kisonono
5.kuwashwa Sana katika bomba au njia ya mkojo hii ni dalili za UTI au fangasi
6.uchafu wa kawaida kutoka kwenye uume na hii hupelekea saratani
7.kufika kileleni mapema
8.penis kupata kidonda na hii ni mojawapo ya dalili za kaswende ambapo huchelewa kuonekana
9.uume unaweza kupinda.
10.vinyamanyama hutokea kwenye uume
Mwisho; wanaume au watoto ambao bado hawajatahiriwa Wana risk kubwa Sana ya kuwashwa penis hivyo ni vyema wanaume mjitahidi kutahiriwa na Kama umetahiriwa ukapata dalili kama hizi mnashwauriwa kwenda hospital kwaajili ya vipimo na matibabu
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Kunyonyesha ni moja katika njia za asili za kuzuia upatikanaji wa miba nyingine. Hata hivyo hii haimaanishi kuwa huwezi kupata mimba ukiwa unavyonyesha.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo mbalimbali yanayodhoofisha afya za wanaume, kwa wakati mwingine wanaume ukosa kujiamini kwa sababu ya mambo ambayo yanaadhiri afya za wanaume.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo mwanamke hapaswi kufumbia macho.
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukueleza jinsi ya kuwjuwa kama mtoto ni wa kike ama wa kiume.
Soma Zaidi...Je unasumbuliwa na maumivu ya tumbo. Unadhani ni dalili za mimba na ukapima hakuna mimba.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtoto alizaliwa na uzito mkubwa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi umuhimu wa maji yaliyomo kwenye mfuko wa mtoto akiwa tumboni. Ni maji ambayo kwa kitaalamu huitwa (Amniotic fluid)
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia ambazo mtu anapaswa kutumia ili kuweza kupunguza tatizo hili kisiweze kutokea na pia kama jamii ikishirikiana kwa pamoja tunaweza kuepusha kwa kufanya yafuatayo.
Soma Zaidi...Kama uume wako unauma ama unahisi kuwa unaunguza ama kuchoma choma, post hii imekuandalia somo hili.
Soma Zaidi...