Nimemaliza heddhi mwezi huu lkni najihisi tena dalili zakublidi wiki nzima hii kwann?

Nimemaliza heddhi mwezi huu lkni najihisi tena dalili zakublidi wiki nzima hii kwann?

Nimemaliza heddhi mwezi huu lkni najihisi tena dalili zakublidi wiki nzima hii kwann?

Swali langu:
Nimemaliza piriadi tarehe 4 mwezi huu lkni najihisi tena dalili zakublidi wiki nzima hii kwann



Namba ya swali 026

Je umebrid? na Ni dalili zipi unahisi



Namba ya swali 026

Bdo cjablidi ila nahisi kublidi



Namba ya swali 026

Dalili za kubrid huambatana na dalili za mimba changa. Na unaweza pia kubridi ila damu yake ni tofauti kidogo na ya hedhi



Namba ya swali 026

Aha SWA asnte maana nashanga dalili mbona hafla zinajirudia mwezi huu huu



Namba ya swali 026

Pima kwanza kuhakikisha kama una ujauzito ama laa, na hata usipoiona rudia tena baada ya wiki maana kipimo cha mkojo kwa mimba changa sana sio rahisi kupata majibu sahihi. Baada ya hapo tutakuwa na majibu sahihi kama ni ujauzito kweli ama kuna mabadiliko mengine..



Namba ya swali 026

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 2026

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 ai web app     👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉5 Dua za Mitume na Manabii     👉6 web hosting    

Post zinazofanana:

Dr nahis kuchanganyikiwa nimetoka niliingia hedhi tar 18 mwezi wa9 lakini saivi Jana tena nmeingia dr hii imekaaje mimi?

Kamaumeshawahi kujiuliza kuhusu kutokwaba damu tofautivna siku za hedhi, base mwaka hii ni kwaajiki yako.

Soma Zaidi...
Dalili za kujifungua hatua kwa hatua

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za kujifungua hatua kwa hatua

Soma Zaidi...
Mwanamke mwenye HIV akiwa mjamzito ama ananyonyesha

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu mwanamke mwenye HIV akiwa mjamzito ama anaenyonyesha

Soma Zaidi...
Sifa za siku za kupata mimba

Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya sifa za siku za kupata mimba

Soma Zaidi...
Kazi na mdalasini katika kutibu matatizo ya homoni.

Posti hii inahusu zaidi kazi ya mdalasini katika matibabu ya homoni kwa wanawake.

Soma Zaidi...