Upasuaji ni kundi la ki medical linalohusu kutoa kiungo kisichohitajika kwenye mwili.
Mambo ya kuzingatia kabla ya upasuaji
-kuongea na mgonjwa kuhusu yafuatayo
1.Kama mgonjwa abatumia mlo kamili na Hana viashilia vyovyote viavyoonekana wazi
2.kuangalia kama mgonjwa ana damu ya kutosha maana wakati wa upasuaji damu nyingi utumika
3.kuangalia umri wa mgonjwa, kama umri wa mgonjwa ni mkubwa au ni mdogo sana
4.kuangalia maambukizi kama mgonjwa ana virusi vya Ukimwi au ugonjwa mwingineunaoambukiza
5.kuangalia kama mama ana mimba, mama katika upasuaji mama mwenye mimba uangaliwa zaidi
6.kama mgonjwa abatumia pombe na vile vikali ambavyo husababishwa dawa ya usingizi kutokolea vizuri
Namna ya kumtunza mgonjwa aliyetoka kupasuliwa
1.mlaze mgonjwa kiupanda
2.mgonwa asipewa chakula chochote
3.mgonjwa asipewe maji ya kunywa mpaka atakapiruhusiwa na daktari
Kwa ujumla upasuaji sio kitu Cha kawaida tunapaswa kuwaandaa wagonjwa wetu kabla hawajaenda kwenye chumba Cha upasuaji na tuwatunze vizuri wakitoka huko.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Pumu ni ugonjwa wa njia ya upumuaji unaojulikana na kizuizi cha muda mrefu cha njia ya upumuaji. Inahusisha mfumo wa upumuaji unaobana njia ya hewa, Inaweza kuwa ya nje (hii hutokea kwa vijana kutokana na mizio) au ya ndani (hutokea kwa wazee)
Soma Zaidi...Uvumilivu wa pombe unaweza kusababisha athari za haraka, zisizofurahi baada ya kunywa pombe. Ishara na dalili za kawaida za kutovumilia kwa pombe ni pua iliyojaa na Kuvuta ngozi. Uvumilivu wa pombe husababishwa na hali ya maumbile ambayo mwili hauwezi k
Soma Zaidi...Post hii fupi inakwenda kukujuza juu ya tatizo la fangasi na nini ufanye.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za kutokea kwa maumivu ya jino
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na matatizo yanayoweza kusababisha Ugonjwa wa Saratani.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyanzo m ali mbali vinavyohisiwa kuwa chanzo cha UKIMWI
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi hatua au mbinu za kupambana na ugonjwa wa UTI kwa sababu ugonjwa huu umekuwa tishio kubwa kwa sasa kwa hiyo tunapaswa kutumia njia mbalimbali ili kuweza kupambana na Ugonjwa huu.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na Magonjwa mbalimbali ambayo watoto chini ya miaka wanaweza kuyapata kiurahi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za moyo kutanuka, Kuna kipindi ambapo moyo utoka kwenye hali yake ya kawaida na kutanuka hali ambayo usababisha madhara kwa mwenye tatizo hilo, ila Kuna sababu ambazo usababisha moyo kutanuka kama tutakavyoona.
Soma Zaidi...