Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wazee
UTARATIBU WA LISHE KWA WAZEEWazee Wazee hawahitaji kuPewa vyakula vya kutia nguvu kwa wingi. Wapewe vyakula vyenye kambakamba ili kuwapunguzia tatizo la kukosa choo na kuwezesha mmeng'enyo wa chakula.Wazee wapewe vyakula vyenye madini ya chuma, zink na kashiam(calcium) ili kupunguza uwezo wa kupata tatizo la anaemia. Pia madini ya zink ni muhimu katika kuufanya mwili uweze kujenga kinga ya mwili (immune system) na kusaidia kupona kwa urahisi na haraka kwa majeraha.Ili kupunguza tatizo la kuchoka kwa mifupa (mifupa kuwa dhaifu) kwa wazee wanatakiwa wapewe vyakula vyenye vitamini D na madini ya kashiam(calcium) kwa wingi.Pia wazee wapewe vyakula ambavyo ni rahisi kutafuna na kumeza. Hii ni kwa sababu wazee wao huwa meno na mifupa yao ni midhaifu pia wana upungufu wa uzalishaji wa mate midomoni mwao kwa mfano baada ya kuwapa nyama wapewe maini.
?
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya kazi ya protin na vyakula vya protini mwilini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kupunguza tatizo la kuwepo kwa uzito mkubwa pamoja na kitambi
Soma Zaidi...Hii ni hali inayotokea ambapo wili unakuwa na joto la juu sana tofauti na kawaida.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wagonjwa
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi mishipa inayosafilisha damu mwilni, ni Aina tatu za mishipa ambazo usafilisha damu kutoka sehemu Moja kwenda nyingine
Soma Zaidi...Makala hii itakwenda kukufundisha kazi 5 za maafu mwilimi. Wengi tunajuwa tu kuwa mapafu yanafanya kazi ya kupumuwa. ila si hivyo tu yapo mengi zaidi.
Soma Zaidi...Kinga ya mwili inapodhoofu mwili unakuwa hatarini kupata maradhi. Je unayajuwa mambo yanayodhoofisha kinga ysbmeili?
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Aina mbalimbali za vidonda kwenye mwili wa binadamu, ni vidonda ambavyo utokea kwenye mwili wa binadamu kwa Aina tofauti.
Soma Zaidi...