Watoto wachanga ni watoto wenye umri chini ya miaka mitano, watoto hawa hushambulia na maginjwa mara kwa mara na kusababisha ukuaji wao kuwa dunk,
Yafuatayo ni magonjwa yanayowapata watoto
1. Malaria
2 .kuharisha
3. Upungufu wa damu
4. Degedege
5.utapia mlo
6. Pumu
Dalili za magonjwa haya
Kwa ujumla dalili za magonjwa haya hufanana kwa namna moja au nyingine, zifuatazo ni dalili za magonjwa nyemelezi kwa watoto
1. Homa za mara kwa mara
2. Kukosa hamu ya kula
3. Kuishiwa nguvu
4. Mtoto kukosa raha
5. Kudumaa ukiwa magonjwa hayajatibiwa mapema.
Mbinu za kufanya Ili kuzuia kuwepo kwa magonjwa haya.
1. Kuhudhulia kliniki mara kwa mara
2. Kuonana na daktari au muuguzi pale ambapo Hali ya mtoto ikibadilika.
3. Kutumia dawa kwa uaminifu
4. Kuepuka Mila na desturi potovu kuhusiana na magonjwa mbalimbali
5. Kutumia dawa na kupata chanjo zinazohitajika kwa watoto.
Madhara yanayoyokea tusipo watibu watoto mapema.
1. Ulemavu usiotarajiwa
2. Kupoteza maisha kwa watoto
3. Kudumaa kwa watoto
4. Magonjwa kuwa sugu na kutoa kitu kingine
Kwa hiyo tunaona watoto wadogo wanavyoshambuliwa sana na maginjwa mbalimbali kwa hiyo tunapaswa kuwalinda na kuwaweka katika mazingira mazuri Ili wasipatwe na magonjwa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
postii hii inazungumzia dalilili za Mtoto mwenye Kuhara. Kuhara maana yake ni kutokwa na kinyesi chenye maji matatu au zaidi, pamoja na au bila damu ndani ya masaa 24. Kuhara kunaweza kusababishwa na maambukizo ya bakteria na virusi, ugonjwa wa matumb
Soma Zaidi...Kuziba kwa utumbo ni kuziba kwa chakula au kimiminika kisipite kwenye utumbo mwembamba au utumbo mpana (colon). Kuziba kwa matumbo kunaweza kusababishwa na mikanda ya nyuzi kwenye fumbatio ambayo huunda baada ya upasuaji, mifuko iliyovimba au iliyoambuk
Soma Zaidi...NJIA ZA KUKABILIANA NA MINYOO Kwa kuwa tumekwisha kuona namna ambavyo minyoo huenezwa, hivyo basi ni rahisi sasa kutaja namna ya kubambana na minyoo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa Bawasili, ni Dalili ambazo ujitokeza kwa mgonjwa ambaye ana ugonjwa wa Bawasili.
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha kiufupi kabisa kuhusiana na dalili za ngozi kuwashwa.
Soma Zaidi...MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO Matibabu ya vidonda vya tumbo inategemea sababu.
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha mambo mbalimbali yanayoweza kusababisha Ugonjwa wa kifua kikuu kwa watoto chini ya miaka mitano.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea pale ambapo Ugonjwa wa ngiri unaposhindwa kutibiwa mapema.
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha namna ya kujizuia,Mambo ya Hatari,na na Mambo yanayopelekea Ugonjwa wa ukosefu wa mkojo
Soma Zaidi...