Download Kitabu cha elimu ya Ujauzito na malezi ya mimba.
DALILI 10 ZA KUKARIBIA KUJIFUNGUA
Kwa muda mreefu mwanamke amesubiria siku ya kujifungua na mtoto mpya kutokea duniani. Wanawake wanahitaji kuitambua siku hii vyema ili yasijetokea mengine mabaya. Kwa kuwa dalili hizi zinakuja kwa namna tofauti anaweza kujikuta mjamzito akamzalia mwanae kwenye tundu la choo. Makala hii itakuorodheshea dalili 10 za uchungu wa kujifungua
Dalili 10 za kukaribia kujifungua
1.mtoto anaanza kushuka maeneo ya kwenye nyonga. Kwa wanawake wengi wanaanza kuona hali hii wiki mbili ama nne kabla ya kujifungua.
2.Njia ya mimba (cervix) huanza kuachia. Hii ni sehemu inayounganisha uke na sehemu ya ndani ya mfuko wa mimba.
3.maumivu ya tumbo yanaongezeka pamoja na ya mgongo
4.Viungio vyako utaviona kama vinaachiana
5.Unaweza kuharisha
6.Kuongezeka kwa uzito kutakata kabisa uzito utakuwa hauongezeki
7.Uchovu unakuwa mkali zaidi
8.Uke unaanza kutoa uteleziutelezi
9.Maumivu ya tumbo ya mara kwa mara kuongezeka
10.Kutokwa na maji kwenye uke.
Download Kitabu cha elimu ya Ujauzito na malezi ya mimba.
Bofya hapa
Umeionaje Makala hii.. ?
Swali langu ni hili doktaJe siku sahihi yakufanya tendo la ndoa niipi ukipata siku zake za hatari?
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi madhara ya kutoka kwa mimba, kwa kawaida tunafahamu kwamba mimba ikitungwa na mwili mzima huwa na wajibu wa kutunza kilichotungwa kwa hiyo ikitokea mimba ikatoka usababisha madhara yafuatayo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi namna ya kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa, ni njia zitoleeazo na wakunga Ili kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi tiba ya awali kwa mwanamke mwenye changamoto ya PID, tunaita tiba ya awali kwa sababu baada ya kupima na kugunduliwa kwamba una tatizo au changamoto ya PID ni vizuri kutumia tiba hiii baadae ndipo utumie dawa.
Soma Zaidi...Jifunze muda ambao mjamzito hatatkiwa kishiriki tendo la ndoa. je kuna madhara kwa mjamzito kushiriki tendo la ndoa.
Soma Zaidi...Post huu inahusu zaidi mambo yanayopelekea ugumba kwa wanaume, ni mambo ambayo uchangia au upelekea mwanaume kukosa uzazi.
Soma Zaidi...Je, unafahamu dalili za mwanzo za ujauzito? Kutoka kwa kichefuchefu hadi uchovu, ujue nini cha kutarajia.
Soma Zaidi...