image

Zijue Faida ya kula tunda la tango.

Posti hii inazungumzia kuhusiana na Faida za kula tango japokuwa watu wengi hulipuuzia Ila Lina Faida kubwa Sana mwilini.

   Zifuatazo Ni Faida za kula tango

1.husaidia kuondoa gesi tumboni; endapo umekula mchanganyiko wa chakula, au umekula chakula ambacho Kuna mzio na tumbo lako na kuleta gesi tumboni nivyema kutumia tango maana husaidia kuondoa gesi kabisa tumboni.

 

2.husaidia mmeng'enyo wa chakula tumboni maana tango Lina madini na Lina majimaji mengi hivyo hupelekea kusaidian mmeng'enyo wa chakula.

 

3.huongeza maji mwilini hii pia Ni Faida mojawapo ya kula  tango

 

4.husaidia Kupunguza uzito au kitambo.kwasababu Ni tunda ambalo halijazidi chumvi Sana ipo tu ya kiasi pia Ni tunda ambalo halina sukari na ndio maana linapunguza uzito na kitambi Kama kimezidi.

 

5.husaidia kushusha presha.

6.husaidia kuleta ladha au hamu ya kula.

7.husaidia kuondoa tatizo la mkojo kuwasha.

8.linasaidia matatizo ya maambukizi Kama vile UTI

9.husaidia kuondoa uchovu.

10.linasaidia kutoa uume uliongia Ndani kurudi.

11 kukosa choo.

 

Mwisho; ukitaka kuona umuhimu wa kula tango usile tu Mara moja na kuacha Tumia Mara kwa Mara ndipo utaona Faida zake.

 





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 3523


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Simulizi za Hadithi Audio     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

UPUNGUFU WA VITAMIN NA MAJI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Kisamvu
Soma Zaidi...

Faida za kula fyulisi/peach
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/ peach Soma Zaidi...

Vinywaji vyakula salama kwa mwenye Presha ya kupanda
Je umesha wahi kujiuliza kuwa ni vinywaji vipi mwenye presha ya kupanda anafaha kutumia, Unadhani ni maji, mvinyo wa pombe, chai na kahawa. Bila shaka ungependa kujuwa zaidi kuhusu jambo hili. Makala hii ni kwa ajili yako Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula kabichi
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Tende
Soma Zaidi...

Fida za kula uyoga
Uyoga pia ni katika vyakula vya asili, ijapokuwa upatikanaji wake umekuwa mchache siku hizi. Shukrani ziwaendee wataalamu wa kilimo, kwa sasa tunaweza kuzipata mbegu za uyoga kutoka maabara na kulima uyoga popote pale. Wataalamu wa mimea wanaamini kuwa uy Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Palachichi
Soma Zaidi...

Vyakula murajabu kea mwenye presha ya kushuka
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula murajabu kea mwenye presha ya kushuka Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula nyama
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyama Soma Zaidi...

Vyakula vya kupunguza presha ya kupanda
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula ambavyo vinaweza kupunguza presha ya kupanda Soma Zaidi...

Vyakula vya vitamini E na faida zake
Soma Zaidi...