Posti hii inahusu zaidi tatizo la kuwepo kwa asidi nyingi mwilini hali uwasumbua watu wengi na kufikia kiasi cha kusababisha madhara mengine mawilini ikiwamo pamoja na kansa ya koo, ili kujua kama una wingi wa asildi mwilini unapaswa kujua dalili kama ifu
1. Dalili ya kwanza ni kupata vipele kwenye koo.
Kwa kawaida watu wenye asidi nyingi huwa na vidonda kwenye koo vidonda hivyo vinaweza kutibika na kupona lakini tatizo la asidi kama halijashughulikiwa vidonda ujirudia mara kwa mara na pia kama mtu anapata vidonda vya mara kwa mara kooni ni vizuri kuangalia tatizo la asidi mwilini.
2. Kuhisi kama kuna kitu kinababa kooni.
Kwa wakati mwingine unaweza kuona unabanwa kooni au kama kuna kitu kinakuniga jaribu kuwaona wataalamu wa afya ili kuweza kuweza kuangalia tatizo la asidi mwilini.
3. Kuhisi chakula kinarejea mdomoni.
Kuna wakati mwingine unaweza kuwa unakula na ukameza ila ukahisi labda chakula kinataka kurudi ila hauna kichefuchefu na inawezekana kabisa kuwa na Dalili za kuwepo kwa asidi mwilini.
4. Kupata kiungulia mara kwa mara.
Kuna wakati mwingine unaweza kupata kiungulia hata kama umemaliza mda mrefu,na ukatumia madawa mbalimbali na mengi bila kupata nafuu yoyote kwa hiyo unapaswa kuangalia kiwango cha asidi mwilini.
5. Kuna kipindi tumbo linajaa sana gesi na wakati mwingine linaambatana na kunguruma, hali inayosababisha pengine mtu kukosa hata hamu ya kula , kwa hiyo ni vizuri kabisa kugundua tatizo ni lipi.
6. Kuna wakati mwingine kifua kinabana sana na kuambatana na maumivu kwa mgonjwa, utakuta matibabu mengi yanakuwa katika kutibu kifua na hakuna nafuu yoyote ila tatizo unakuta ni kujaa kwa gesi kwenye mwili.
7. Tumbo kuwaka moto.
Kuna wakati mwingine tumbo linawaka moto kama mgonjwa wa vidonda vya tumbo na pengine matibabu ya vidonda vya tumbo ufanyika kwa mda mrefu bila msaada wowote ila baadae unakuta ni kuwepo kwa asidi mwilini.
8. Tunapaswa kujua kuwa tatizo hili lipi na lina dalili kama Magonjwa mengine hasa hasa kama vidonda vya tumbo na pia kifua, ikitokea matibabu yanafanyika na hakuna matokeo yoyote ya kupona ni vizuri kabisa kupima na kuangalia kama kuna kiwango kikubwa cha asidi mwilini.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 6433
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya
👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉3 Kitau cha Fiqh
👉4 Madrasa kiganjani
👉5 Simulizi za Hadithi Audio
👉6 kitabu cha Simulizi
Njia za kupunguza ugonjwa wa zinaa
Posti hii inahusu zaidi njia ambazo zinaweza kutumika Ili kuweza kupunguza kuwepo kwa magonjwa ya zinaa Soma Zaidi...
Huduma kwa walio na matatizo ya asili nyingi mwilini
Posti hii inahusu zaidi huduma kwa wale ambao tayari wameshakuwa na tatizo la asidi mwilini, ni njia ambazo unaweza kuzitumia ili kuweza kupunguza tatizo hili au Mgonjwa anapoendelea kupata matibabu. Soma Zaidi...
Matatizo ya unene kwa watoto (childhood obesity)
post Ina onyesha madhara na matatizo ya Unene Utoto ni hali mbaya ya kiafya inayoathiri watoto na vijana. Inatokea wakati mtoto yuko juu ya uzito wa kawaida kwa umri na urefu wake Soma Zaidi...
Dalili za malaria
Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu kwa kitaalamu anaitwa Anopheles.na anasambazwa na mbu jike pale anapotafuta chakula hasa wakati akiwa na mimba.
Mbu hawa hupenda kuishi kwenye mnyasi, madibwi haswa kwenye maji yaliyo simama.
Soma Zaidi...
Yajue magonjwa nyemelezi.
Posti hii inahusu zaidi magonjwa nyemelezi ambayo kwa kawaida utokea pale ambapo kinga ya mwili inashuka. Soma Zaidi...
Dalili za fangasi Mdomoni.
Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili za fangasi Mdomoni kwa watoto, vijana, watu wazima na mama wanaonyonyeshwa. Soma Zaidi...
Yajue magonjwa ya jicho
Posti hii inahusu zaidi Magonjwa ya jicho,ni Magonjwa ambayo ushambulia sehemu mbalimbali za jicho kwa mfano kwenye retina,kuaribu mishipa ya retina ,macho kuwa makavu na pia mtoto wa jicho, hali hii ya magonjwa ya macho Usababisha madhara mbalimbali kama Soma Zaidi...
Dalili za presha ya kushuka
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za presha ya kushuka Soma Zaidi...
Ugonjwa wa kisukari ambao husababisha kupoteza fahamu ( coma ya kisukari)..
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa kisukari unaopelekea kukosa fahamu ni tatizo linalohatarisha maisha kisukari ambalo husababisha kupoteza fahamu. Ikiwa una kisukari, sukari ya juu ya damu (hyperglycemia) au sukari iliyopungua sana (hypoglyc Soma Zaidi...
Aina za minyoo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya aina za minyoo Soma Zaidi...
Dalili za UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za UKIMWI Soma Zaidi...
Fahamu Ugonjwa wa Saratani ya seli nyeupe.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Saratani ambayo hutokea katika aina ya seli nyeupe ya damu inayoitwa seli ya plasma. Seli za plasma hukusaidia kupambana na maambukizo kwa kutengeneza kingamwili zinazotambua na kushambulia vijidudu. Pia husababish Soma Zaidi...