Posti hii inahusu zaidi kuwepo kwa vipele kwenye midomo na sehemu za siri .Ni ugonjwa ambao kwa kitaalamu huitwa herpes zoster
Ugonjwa wa kuwepo kwa vipele kwenye midomo na sehemu za siri ambao kwa kitaalamu huitwa heper zoster.
1.Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa ugonjwa huu usababishwa na virus ambao kwa kitaalamu huitwa herpes zoster virus one and herpes zoster virus two, hawa virusi ushambulia zaidi kwenye sehemu za midomo hasa kwenye lips na kufanya midomo ipasuke pasuke na pia ushambulia sehemu za siri na kuziacha nazo zikiwa zimepasuka pasuka.
2.Pia ugonjwa huu unaweza mpata mtu yeyote lakini zaidi upenda kushambulia Watu ambao wana kinga ndogo ya mwili kwa mfano wagonjwa wenye kansa ya damu ambayo kwa kitaalamu huitwa lukemia, wale wenye Maambukizi ya virus vya ukimwi nao wako kwenye hatari ya kupata ugonjwa huu , pia na wale ambao wana kansa kwa mda mrefu nao wako kwenye hatari ya kupata Ugonjwa huu kwa sababu ya kinga yao kubwa chini.
3.Kwa hiyo kama tuna wagonjwa wenye Magonjwa yanayofanya kinga yao kuwa chini wanapaswa kuhakikisha kuwa kinga yao inakuwa juu kwa kupata dawa ambazo ufubaza virus vya ukimwi kwa wale wenye ugonjwa huu na pia kuwapatia mlo kamili wale wote wenye matatizo mbalimbali ya kiafya ili kuweza kuepuka na ugonjwa huu.
4.Pia Ugonjwa huu unaweza kusambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia tofauti kwa hiyo ni vizuri kabisa tukaweza kuepuka ugonjwa huu, hasa kwa wale wanaopenda kuhusiana kuwa na tahadhari na angalia una busu mtu wa namna gani kwa hiyo tuwe makini na pia wale wanaopenda kufanya ngono zembe kuwa makini sana ili kuweza kuepuka madhara kabisa.
5. Tunapaswa kujua kuwa ugonjwa unaosababishwa na virusi hauna dawa kwa hiyo kinga na kujiadhari ni kitu cha maana kabisa ili tuweze kuepuka na janga hili la kuwepo kwa Ugonjwa huu ambao uweza kusambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiw ana App yetu. Bofya liln hapo chini kuweza ku download
Download NowJe! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Views 1720
Sponsored links
👉1
Simulizi za Hadithi Audio
👉2
Madrasa kiganjani
👉3
Kitabu cha Afya
👉4
Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉5
Kitau cha Fiqh
👉6
kitabu cha Simulizi
Dalili za mkojo mchafu na rangi za mkojo na mkojo mchafu
Hapautajifunza rangi kuu za mkojo na dalili zako kiafya, mkojo mchafu na dalili zake Soma Zaidi...
Dalilili na sababu za magonjwa ya zinaa
Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalilili,SABABU,mambo ya hatari katika Magonjwa ya zinaa (STDs), au magonjwa ya zinaa (STIs), kwa ujumla hupatikana kwa kujamiiana. Vimelea vinavyosababisha magonjwa ya zinaa vinaweza kupita kutoka kwa mtu hadi kwa mtu Soma Zaidi...
Ugonjwa wa kuungua Mdomo (mouth burning syndrome)
Ugonjwa wa mdomo unaoungua ni neno la kimatibabu kwa ajili ya kuwaka moto mara kwa mara mdomoni bila sababu dhahiri. Usumbufu huo unaweza kuathiri ulimi wako, ufizi, midomo, ndani ya mashavu yako, paa la mdomo wako au maeneo yaliyoenea ya mdomo wako wot Soma Zaidi...
Visababishi vya ugonjwa wa Varicose vein
Posti hii inahusu zaidi visababishi mbalimbali vya ugonjwa wa vericose veini, ni visababishi mbalimbali ambavyo utokea kwenye mtindo wa maisha kama tutakavyoona. Soma Zaidi...
Sababu kuu za maumivu ya tumbo chini ya kitomvu, Tumbo la ngiri na chango
Makala hii inakwenda kukuletea somo linalozungumzia maumivu ya tumbo chini ya kitomvu, na tumbo la ngiri kwa wanaume, na tumbo la chango kwa wanawake Soma Zaidi...
Ujuwevmv ugonjwa Nimonia na dalili zake
Nimonia ni Hali ya kuvimba pafu inayoathiri hasa vifuko vya hewa viitwavyo Alveoli, husababishwa na Maambukizi ya virusi Soma Zaidi...
Vyakula hatari kwa mwenye vidonda vya tumbo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula hatari kwa mwenye vidonda vya tumbo Soma Zaidi...
Namna ya kuzuia ugonjwa wa Homa ya inni.
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia ugonjwa wa Homa ya inni, ni njia ambazo utumiwa Ili kuepuka kusambaa kwa ugonjwa wa Homa ya inni kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, Soma Zaidi...
Nini husababisha maumivu ya tumbo chini ya kitomvu kwa wanawake na wanaumr?
Makala hii inakwenda kukuletea somo linalozungumzia maumivu ya tumbo chini ya kitomvu. Ni katika maumivu amaboyo kwa wanaume mara nyingi huhusishwa an ngiri na kwa upande wa wanawake huhusishwa na chango hasa pale wanapokaribia kuingia katika siku zao. Ma Soma Zaidi...
Sababu za uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo.
Post hii inahusu zaidi Sababu za uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo, hali hii uwatokea sana wanawake zaidi ya wanaume, kwa kitaalamu hali hii ya kuwa na uvimbe kwenye kibofu Cha mkojo huitwa cystitis. Soma Zaidi...