image

Makundi manne ya damu na jinsi yanavyotumika

Post hii inahusu zaidi umuhimu wa makundi manne ya damu na jinsi yanavyotumika, Ni magroup manne ya damu ambayo husaidia kuongeza damu kwa mtu ambaye amepungukiwa damu

Makundi manne ya damu

1. kundi  A ni Aina ya  group mojawapo ambalo hutoa damu kwa mtu mwenye nkundi A na AB

2. kundi B ni Aina ya kundi ambalo hutoa damu kwa mtu mwenye kundi AB na B

3. kundi  AB hutoa damu kwa mtu mwenye kundi AB tu

4. kundi  O hutoa damu kwa  makundi yoteaA,AB,B na I, lakini hupokea kwa O peke Yao.

 

Imani potofu kuhusu makundi ya damu

1. Jinsi kundi lako la damu lilovyo ndivyo utu wako ulivyo. Yaani kuna watu wanaamini ukiwa na klundi fulani la damu utakuwa lamda mkarimu sana, ama mkorofi ama una maguvu. Hii sio sahihi kabisa.

 

2. Kwamba lishe inategemeana pia na aina ya damu ulio nayo. kwa mfano kuna watu wanaamini kuwa ukiwa na damu kundi fulani utatakiwa kula aina maalumu ya vyakula. Jambo hili sio sahihi pia, unaweza kula chakula chochote kile bila ya kuathiri kundi lako la damu.

 

3. Kwamba kuna baaadhi yakundi ya damu hayapati maradhi kuliko mengine. Ukweli ni kuwa aina ya kundi la damu ulionayo haitakusaidia kukukinga na maradhi, hata HIV. Ijapokuwa kila kundi la damu lina athari yake kwa baadhi ya maradhi lakini hii haimaanishi kuwa kuna makundi ya damu hayapati magonjwa mara kwa mara kulinganisha na mengine.

 

4. mbu anapenda damu yenye group O. hii pia sio sahihi, kitu kinachomvutia mbu ni hewa ya carbondioxide ambayo unaitowa unapopumuwa. Hii itamjulisha mbu mahala ulipo na upo umbali kiasi gani.

 

5. Kuwa ukkiwa na group O sio rahisi kupata HIV na UKIMWI, hii pia sio sahii kabisa. Kila kundi la damu lina hatari sawa kupata HIV endapo utajiingiza kwenye mazingira hatarishi ya kuweza kupata HIV.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Huduma Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 4498


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Kitau cha Fiqh     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Huduma ya Kwanza kwa mtu aliyekunywa sumu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyekunywa sumu Soma Zaidi...

Namna ya kutumia vidonge vya ARV
Post hii inahusu zaidi matumizi ya vidonge vya ARV, ni vidonge vinavyotumiwa na wagonjwa waliopata ugonjwa wa Ukimwi Soma Zaidi...

Imani potofu kuhusu kifua kikuu
Posti hii inahusu zaidi imani potofu waliyonayo Watu kuhusu ugonjwa wa kifua kikuu, hizi ni imani ambazo uwepo kwenye jamii na pengine uweza kuaminika lakini si za ukweli. Soma Zaidi...

Huduma ya Kwanza kwa mwenye kizunguzungu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu mwenye kizunguzungu Soma Zaidi...

Fahamu kuhsu vitamini E na kazi zake mwilini
Je unazijuwa faida za kuwa na vitamini E mwilini mwako.Unahani utapata matatizo yapi ya kiafya endapo utakuwa na upungufu wa vitamini E mwilini? Makala hii ni kwa ajili yako. Soma Zaidi...

Umuhimu wa uterusi
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa uterusi, ni mfuko unayosaidia kumtunza mtoto akiwa tumboni mwa mama yake. Soma Zaidi...

HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEUNGUA
Kuungua kupo kwa aina nyingi. Soma Zaidi...

Upungufu wa protin
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa protini Soma Zaidi...

Zijue hasara za magonjwa ya ngono
Posti hii inahusu zaidi hasara za magonjwa ya ngono, ni magonjwa yanayoambukizwa kwa kujamiiana bila kutumia kinga. Soma Zaidi...

Njia za kukabiliana na minyoo
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na minyoo Soma Zaidi...

Zijue kazi za ini
Post hii inahusu zaidi kazi za ini, ni kiungo muhimu kwenye mwili ambacho Kina umuhimu sana, bila ini maisha ya mwanadamu yanaweza kuishia pabaya Soma Zaidi...

Zijue sehemu za mwili zinazochomwa chanjo.
Posti hii inahusu zaidi sehemu ambazo zinapaswa kudungwa chanjo, hizi ni sehemu zile zilizopendekezwa kwa ajili ya kuchoma chanjo kwa kadiri ya kazi ya chanjo. Soma Zaidi...